Tusaidianeni kwa hili

Tusaidianeni kwa hili

30k kwa ajili ya kuanza urafiki? Na wewe ili uanze urafiki unahitaji ngapi unique?
Mie nahitaji upendo na furaha mtu akupende kiukweli kama rafiki wakweli sio rafiki wa uongo unajua ukishazoeana ndio mtu anaona unique anafaa kusaidiwa nini na kama unique anashida basi unamsaidia ila kweli urafiki ni mzuri sana ule wimbo wa furaha kulewa na marafiki furaha kucheza na marafiki
 
Vijana wa JF wao wanahitaji Mwanamke mwenye sifa hizi

Umbo namba nane
Degree au masters
Uwe stable financially
Uwe mcha Mungu
Usiwe single mother
Uwe Mweupe bila mkorogo

Ukiona una sifa hizo Bado Ngoma ngumu fahamu umerogwa


Na siku hizi vijana wanazidi kutoboa ndo wanawakimbia wanawake

Marrige is scam
Tatizo unawaza ukioa bata zote na wana zinakufa kifo cha mende.
 
Eti mnapotezea kutotaka kutoa ili miwafanye wenzenu single mother??
 
ukiona mtu anatafta mpenzi mtandaoni bas ni kumalizana nyege huwez pata mtu unaemtaka.

wakaza mafuvilu lazima watanioinga ila kupata mwenza ni process ambayo inahitaji mungu na umakini
Endelea kujidanganya
 
Hapa JamiiForums kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini.

Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious .

Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka shida nini?

Maelfu ya wanajJF wa kiume ni single wamejenga wanajitahidi kupanda chart wengine wanamkaribia Dangote shida nini unataka kuzikwa na magari yako yote na wanawake wa kila rangi na umbo wamo humu na wadada shida nini mnakwama wapi?
Kwa una afutatu hapo.. [emoji23]

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Hivyo vigezo vyenu, unakuta unamsubiria wa hivyo halafu hatokei, badala yake mtu anaanza kujipeleka ili apendwe na mwisho wa siku analizwa.
Okay hivi wajua nilikuwa na mtu sura haifai ila bado alikuwa ananiumiza kichwa
 
Back
Top Bottom