Budget yetu nitegemez hatakama haujuwi. Shida ndio hiyo nimesema.Alafu masikini ya Mungu baada ya akili kuanza kukurudia badala uogope dhambi mlizowakosea makaka na madada zako na balaa la vita ya ndani mlioijenga unaogopa kukatiwa misaada na wazungu
usilo lijuwa.....True mtu yeyeto aliyetumbuliwa au mirija yake kukatwa utamjua tu kwenye thread.Huyu bwana hakika anasomeshwa au kafukuzwa kwa shemeji aliyekuwa mnufaika baada ya mirija kukatwa na awapae riziki
Hata Mugabe alijitapa sana kwamba nchi tajiri.jiwe kila siku anajitapa kuhusu tz ila tunaelekea ZimMkuu, hivi maombi tu ndiyo yanayoweza kubadilisha mtazamo wa taasisi ya Urais, ama ni watu wa kitengo ndio wenye wajibu wa kuwajibika ipasavyo na waishi ktk maadili na weledi wao wa kazi.
Nchi yoyote ile duniani toka zama zile za mfalme Daudi wameweza, taasisi ya Urais ama kifalme imeweza kufanikiwa kupitia weledi wa kijasusi ktk mambo ya ndani na nje. Nao wote waliweza kuwaunganisha wananchi wao kupitia ktk tunu za taifa, wala sio itikadi za kisiasa.
Tupo ktk mkwamo, kwani tumeruhusu itikadi za vyama ziangaliwe kwa jicho la chuki na uadui. Badala ya kuweka utaifa wetu mbele kwa makusudi tumeamua kuangaliana kwa jicho la kikada, yaani wale makada watiifu kwa mfalme ndio wanaaminika na hata kushika nafasi nyeti, nao huziendesha kwa upendeleo wa kikada.
Ubaguzi wa dhahiri haupo tu dhidi ya vyama vya upinzani na wanaharakati, bali pia upo ndani ya makada wa chama tawala, hasa lile kundi linaloonyesha kupingana na fikra za Mwenyekiti. Ubaguzi pia unawahusu makundi yote yaliyobakia kupitia kigezo hicho hicho.
Sasa haijalishi mchango, hoja wala maoni ya kitaalamu, vyote huitimishwa kwa jicho na mtazamo wa kiitikadi. Ukionyesha kasoro yoyote ile hata kwa msukumo wa kizalendo, ni lazima upate shutuma za kutoitakia mema serikali yetu.
Kale kakikundi ndiko kalimfanya kabila kung'ang'ania madaraka hadi nguvu ya umma pamoja na kanisa katoliki kusimama plus jumuiya za kimataifa ndipo akaondoka lkn si kwa kupendaNikweli ila kalekakikundi
sio kweliHuyu atakuwa kapigwa chini kwenye hako ka-kikundi kao analia njaa sikuhizi akili zimamrudi.
Ndugu Watanzania wenzangu, Najua Serikali yoyote inawekwa na Mungu na hata Serikali tulio nayo naamini iliwekwa na Mungu. Ila from no where kumetokea sijui na washauri wabaya ama mwenye taifa basi mambo sio mambo.
Mbaya kuliko yote nikuwepo kwa kajikundi samahani lakini mimi nakaita kajikikundi kakiongozwa na kijana mwenzetu wao wamesema wanampenda Rais wetu kuliko awaye yeyote na hapo ndipo balaa limeibuka.
Jamani kama mnavyo juwa Rais ni taasisi na ikiwa ndani ya taasisi kuna watu wananguvu kuliko waliopo kwenye taasisi basi ndipomaajabu hutokea.
Labda niwakumbushe ya Zimbabwe hayatofautian sana na haka kanatokea hapa kwetu. Watu wachache walio ona fursa kwenye utawala wa Mugabe walianza kumpamba na kuwachoma wale ambao walikuwa ktk kumuongoza Mkuu ndipo kakazuka kakikundi kakaenda kuwakusanya watu nakuwatibua Wazungu. Wakimuahidi kumlinda milele yeye ndio baba wa taifa ila Wazungu walicholifanyia taifa lile mpaka sasa Zimbabwe nimaututi kihchumi.
Ndugu zangu Watanzania tusali tusali naomba kila dini na kabila tusali maana kamba inataka kukatika Rais wetu amezungukwa nahako kakikundi hatari kwa usalama wa taifa na chama pia ila mbaya zaid Rais amsikilize nani amuache nani na yeye ndie last say.
Ndugu zangu kunamahali neno linasema pasipo maono taifa uwangamia taifa letu likiangamia tutakao umia nisisi.
Uchumi wetu ndio pigo kubwa ikiwa tunao waita mabeberu watatuminya. Nikweli hawa majama nimabeberu ila nivyema tujikite kuwashughulikia kwa akili kuliko mabavu.
Mwalim Nyerere alitaman angetawala zaid yapale ila alisoma alama za nyakati akajuwa atapotea kwenye picha akampa mwinyi nchi nakweli mwinyi akatekeleza matakwa yao taifa likapona je leo tutaweza kurud kule kulimshinda Bba wataifa?
Bila shaka intelligence yetu haiku usoma mchezo nakama iliusoma na mkuu akapiga chini. Mimi nasali nawaombea vijanamaelfu wasio na ajira na maelfu watapukutishwa just kwa kuharibika uchumi.
Watanzania tusilale tumuombe Mungu tumuombe Mungu.
Mungu ulikumbuke taifa la tanzania na Rais wetu apate maono kuwa kuna watu wanampoteza kwakumsifia nakumtaja jina lake kila kikao ila nyuma taifa linahujumiwa.
Amen

Mkuu, ktk mfumo wowote ule wenye kuwajibika kwa raia wa nchi, ni lazima kuwe na "shock absorbers" ndani yake, ambazo zinaweza kuthibiti hali fulani isiende ktk "extremely case" hasa ile yenye muelekeo hasi kwa mustakabali wa maslahi mapana ya nchi yetu.Nikweli ila kalekakikundi
Waulize Chadema?Tumaini mm niambie ukweli Ben saa 8 yuko wapi.
Sali mwenyewe mkuu nchi ipo salama wala hakuna tishio lltNdugu Watanzania wenzangu, Najua Serikali yoyote inawekwa na Mungu na hata Serikali tulio nayo naamini iliwekwa na Mungu. Ila from no where kumetokea sijui na washauri wabaya ama mwenye taifa basi mambo sio mambo.
Mbaya kuliko yote nikuwepo kwa kajikundi samahani lakini mimi nakaita kajikikundi kakiongozwa na kijana mwenzetu wao wamesema wanampenda Rais wetu kuliko awaye yeyote na hapo ndipo balaa limeibuka.
Jamani kama mnavyo juwa Rais ni taasisi na ikiwa ndani ya taasisi kuna watu wananguvu kuliko waliopo kwenye taasisi basi ndipomaajabu hutokea.
Labda niwakumbushe ya Zimbabwe hayatofautian sana na haka kanatokea hapa kwetu. Watu wachache walio ona fursa kwenye utawala wa Mugabe walianza kumpamba na kuwachoma wale ambao walikuwa ktk kumuongoza Mkuu ndipo kakazuka kakikundi kakaenda kuwakusanya watu nakuwatibua Wazungu. Wakimuahidi kumlinda milele yeye ndio baba wa taifa ila Wazungu walicholifanyia taifa lile mpaka sasa Zimbabwe nimaututi kihchumi.
Ndugu zangu Watanzania tusali tusali naomba kila dini na kabila tusali maana kamba inataka kukatika Rais wetu amezungukwa nahako kakikundi hatari kwa usalama wa taifa na chama pia ila mbaya zaid Rais amsikilize nani amuache nani na yeye ndie last say.
Ndugu zangu kunamahali neno linasema pasipo maono taifa uwangamia taifa letu likiangamia tutakao umia nisisi.
Uchumi wetu ndio pigo kubwa ikiwa tunao waita mabeberu watatuminya. Nikweli hawa majama nimabeberu ila nivyema tujikite kuwashughulikia kwa akili kuliko mabavu.
Mwalim Nyerere alitaman angetawala zaid yapale ila alisoma alama za nyakati akajuwa atapotea kwenye picha akampa mwinyi nchi nakweli mwinyi akatekeleza matakwa yao taifa likapona je leo tutaweza kurud kule kulimshinda Bba wataifa?
Bila shaka intelligence yetu haiku usoma mchezo nakama iliusoma na mkuu akapiga chini. Mimi nasali nawaombea vijanamaelfu wasio na ajira na maelfu watapukutishwa just kwa kuharibika uchumi.
Watanzania tusilale tumuombe Mungu tumuombe Mungu.
Mungu ulikumbuke taifa la tanzania na Rais wetu apate maono kuwa kuna watu wanampoteza kwakumsifia nakumtaja jina lake kila kikao ila nyuma taifa linahujumiwa.
Amen
Chadema kwan wao wanahusikaje? Yaan chadema impteze ben afu serikal ikae kimya???aisee.basi chadema ina nguvu kuliko serikal.Waulize Chadema?
Ndugu Watanzania wenzangu, Najua Serikali yoyote inawekwa na Mungu na hata Serikali tulio nayo naamini iliwekwa na Mungu. Ila from no where kumetokea sijui na washauri wabaya ama mwenye taifa basi mambo sio mambo.
Mbaya kuliko yote nikuwepo kwa kajikundi samahani lakini mimi nakaita kajikikundi kakiongozwa na kijana mwenzetu wao wamesema wanampenda Rais wetu kuliko awaye yeyote na hapo ndipo balaa limeibuka.
Jamani kama mnavyo juwa Rais ni taasisi na ikiwa ndani ya taasisi kuna watu wananguvu kuliko waliopo kwenye taasisi basi ndipomaajabu hutokea.
Labda niwakumbushe ya Zimbabwe hayatofautian sana na haka kanatokea hapa kwetu. Watu wachache walio ona fursa kwenye utawala wa Mugabe walianza kumpamba na kuwachoma wale ambao walikuwa ktk kumuongoza Mkuu ndipo kakazuka kakikundi kakaenda kuwakusanya watu nakuwatibua Wazungu. Wakimuahidi kumlinda milele yeye ndio baba wa taifa ila Wazungu walicholifanyia taifa lile mpaka sasa Zimbabwe nimaututi kihchumi.
Ndugu zangu Watanzania tusali tusali naomba kila dini na kabila tusali maana kamba inataka kukatika Rais wetu amezungukwa nahako kakikundi hatari kwa usalama wa taifa na chama pia ila mbaya zaid Rais amsikilize nani amuache nani na yeye ndie last say.
Ndugu zangu kunamahali neno linasema pasipo maono taifa uwangamia taifa letu likiangamia tutakao umia nisisi.
Uchumi wetu ndio pigo kubwa ikiwa tunao waita mabeberu watatuminya. Nikweli hawa majama nimabeberu ila nivyema tujikite kuwashughulikia kwa akili kuliko mabavu.
Mwalim Nyerere alitaman angetawala zaid yapale ila alisoma alama za nyakati akajuwa atapotea kwenye picha akampa mwinyi nchi nakweli mwinyi akatekeleza matakwa yao taifa likapona je leo tutaweza kurud kule kulimshinda Bba wataifa?
Bila shaka intelligence yetu haiku usoma mchezo nakama iliusoma na mkuu akapiga chini. Mimi nasali nawaombea vijanamaelfu wasio na ajira na maelfu watapukutishwa just kwa kuharibika uchumi.
Watanzania tusilale tumuombe Mungu tumuombe Mungu.
Mungu ulikumbuke taifa la tanzania na Rais wetu apate maono kuwa kuna watu wanampoteza kwakumsifia nakumtaja jina lake kila kikao ila nyuma taifa linahujumiwa.
Amen
Akijibu hili tunamsamahe mengine yoteTumaini mm niambie ukweli Ben saa 8 yuko wapi.