Tusali watanzania Mungu atuepushe kuwa Zimbabwe

Ugomvi usio na sababu dhidi ya hawa tunaowaita mabeberu ni hatari sana.. Unahitaji kuwa level ya Mrusi au Mchina kugombana na hawa mabeberu, vinginevyo ni bora tukakaa kimya tu kwa usalama wa Taifa letu na watu wetu..

Ujinga wa Saadam mpaka leo unawatesa WaIraq, Ujinga wa Asad mpaka leo unawatesa waSyria, Ujinga wa Gadafi mpaka unawatesa Walibya, Ujinga wa Mugabe mpaka leo unawatesa Wazimbabwe nk nk.. Huko kote nilikoonyesha hakuwajawahi kuwafanya Wananchi wa Uingereza au Marekani kuteseka zaidi watesekao ni mataifa mengine.. Hatuna sababu yoyote inayojustify tuanze kushindani na hawa mabeberu, chonde chonde tuache huu ujinga tutakuja kutesa watanzani..
 
Zimbabwe hawakufika huko kwa kupenda bali ni SIKIO LA KUFA...
 
Sijawahi kukupa like, ila kwa mara ya kwanza umeongea sense sana. Big up na huo sasa ndiyo Uzalendo unaotakiwa
 
Mungu tunamjazia vitu vingi bila sababu. Siwezi kukubali mtu akiniambia kuwa eti Meko ni mpango wa Mungu!! Never, Mungu wetu aliye hai hawezi kutuletea mtu mwenye chuki na visasi kwa watu anaowaongoza kama huyu.

Huyu Meko ni mpango wa shetani aliyewezesha kuiba kura za Lowassa na kuongezewa Meko. Watanzania hatumchagua huyu !! Nakataa
 
Mungu asingetaka huyo shetani angefanikiwa huyo mpango wake?
 
Wewe si upo lile kundi la kusifu na kuabudu
 
[emoji38][emoji38][emoji38] From no wear ! Hakika siku ya mwisho kila goti litapigwa , huyu ndio yule aliyeshangilia shambulio la Lissu !
Ndio nashangaa sielewi au mrija wa tumbo umekatwa au kapata akili!!
 
Huyu Tumainiel kwa kipindi kirefu nimemfuatilia kuna wakati akili huwa zinamrudia lakini baada ya muda zinatoweka tena. Huwa ana seasons
 
 
Naona hujalipwa pesa zako za kutoa roho watu sasa umesala. Nafsi inakusuta. Poleeeeee
 
Huyu Tumainiel kwa kipindi kirefu nimemfuatilia kuna wakati akili huwa zinamrudia lakini baada ya muda zinatoweka tena. Huwa ana seasons
Kule kuna kusalitiana sana katika kikundi cha Meko na watu wake wa karibu. Ili upate ulaji kwa Meko itategemea unapeleka umbeya kiasi gani. Ndiyo maana watu kama Hamis Kigwangalla na BASHITE hawawivi kwa sababu wanashindana kwa kujikomba na umbeya
 
Kule kuna kusalitiana sana katika kikundi cha Meko na watu wake wa karibu. Ili upate ulaji kwa Meko itategemea unapeleka umbeya kiasi gani. Ndiyo maana watu kama Hamis Kigwangalla na BASHITE hawawivi kwa sababu wanashindana kwa kujikomba na umbeya
Hahahaha hivi umegundua hilo eeh, nami nimelinotice hawa raia utadhani kuna kitu wanagombania ingawa wote ni poti!
 
Naona umeshapigwa ubatizo wa moto matata sana. Na bado..ulipokuwa unaimba yale mapambio ya kusifu ulidhani ni nyimbo za asili?
 
Mungu asingetaka huyo shetani angefanikiwa huyo mpango wake?
Kama unasoma Biblia utatambua kuwa Shetani kabla alikuwa malaika ila akaasi. Na akitoka na nguvu zake alipoasi. Kama angekuwa hana nguvu basi Mungu angemteketeza, ila kwa zile nguvu alizomuumba nazo zinamfanya ajenge himaya yake ambayo ndiyo inawaleta watu kama Meko.
 
Tatizo lipo kwenye kale kakikundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…