Tusali watanzania Mungu atuepushe kuwa Zimbabwe

Tanzania tuko vizuri sana chini ya viongozi wetu wastaafu na aliyepo sasa. Tuna utamaduni wa kuachiana madaraka kidemokrasia. Tnachagua viongozi wetu kidemkrasia kila baada ya miaka mitano. Nchi inasonga mbele kwa kasi kufikia uchumi wa kati. Watanzania wenzangu tusiwe na hofu yoyote. Tutembee kifua mbele kuelekea kuwa donor country!
 
Ili sala ikubaliwe mbele zake M.MUNGU, Sharti toba itangulie. Ikiwa ulishiriki uovu wowote against umma wa watanzania omba toba kwa watanzania na kwa aliye juu ndipo utakuwa pamoja nasi kwenye harakati za kuikomboa nchi.
Unaikomboa nchi? Sidhani kama upo sawa as nchi ilisha kombolewa. Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…