mwasinuka?Mbukwaa
NgimaOyaore uru
Bwacha sugu/mawe??? na kuinama ile mbaya.Habari za Asubuhi! Kwa utamaduni wetu sisi waafrika,asubuhi kama hii baada ya kuamka salama na kumshukuru muumba,kupeana salam wengine hawana raha kama hii...nisiwachoshe we tupia salaam ya kwenu naamini humu utajibwa tu.Mimi naanza Nam_nani....
chakatala uli wa hai mdala?Mwakataaa
Nimeipenda hiyo!.Bwacha sugu/mawe??? na kuinama ile mbaya.
Nichedi iti hetidheHabari za Asubuhi! Kwa utamaduni wetu sisi waafrika,asubuhi kama hii baada ya kuamka salama na kumshukuru muumba,kupeana salam wengine hawana raha kama hii...nisiwachoshe we tupia salaam ya kwenu naamini humu utajibwa tu.Mimi naanza Nam_nani....
Nrewedi, wavuka dhe?Urewedi,
eeeeh mwaraye baba, turahaze imana shimwe, tugenda muhiraMwakeye! Mwalaye
Nanto kisha kwifwareeMwatony, mwose wandu wa iruva
Mkuu hiyo (repentance/toba/pardon/forgiveness)Hii nayo ni salaam kumbe dah!