Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Aisee hapohapo nageuza ubao.
Namwambia kumbe niliyoambiwa nikweli? Mchepuko nauita na kuambia ahsantee sana kunileta nilikuwa sikuamini kuwa umemuona anaingia loudge.
Akiwa Bado anaduwaa namlamba mtama kwanza then namwambia tangulia twende