Kuna rafiki angu kipindi naanza kujenga alikua ananizarau sana eti nanyima na kujenga nikuzika hela ,nikamwambia nikweli lakin kwa umri tulionao nina watoto 3 na ww una 2 tutaishi nyumb zakupanga hadi lini ,kanijibu maisha ni hayahaya ,leo hii mm niko kwangu yeye ndio anashtukaUsidanganyike angalia hali uliyonayo, wengine wanafamilia kubwa itagharimu fedha nyingi kupanga hivyo, ni vema ukajenga.
Wenye famila ndogo, hilo linawezekana lakini pia kukaa nyumba uliojenga kwa design yako unayoipenda wewe ina raha sana.
Akili za kuambiwa changanya na zako, kwa nyumba niliojenga mimi nikitaka kupangisha sikosi 250,000 hivyo ingenigharimu zaidi ya 3,000,000 hiyo hela ni mtaji wa biashara ya bucha.Kuna rafiki angu kipindi naanza kujenga alikua ananizarau sana eti nanyima na kujenga nikuzika hela ,nikamwambia nikweli lakin kwa umri tulionao nina watoto 3 na ww una 2 tutaishi nyumb zakupanga hadi lini ,kanijibu maisha ni hayahaya ,leo hii mm niko kwangu yeye ndio anashtuka
huo pia nakazia kwenye waya.mikoan huku kwetu kazuramimba wiring zote ni zile tuwaya tu na mnapiga umeme miaka yote.hku sasa mara hiv mara lakeageKwenye ufundi bwana mimi sijawahi ona Nyumba inabomoka kwa sababu ufundi mbovu. Tumeishi huko mikoani nyumba zinajengwana mafundi very local. Tangu nizaliwe na sasa nazeeka sijawahi ona.
Ujenzi ni standards za wastani hakuna haja ya mbwembwe na gharama kubwa. Unless kama unajenga ghorofa
Mafundi ni kubanana kama lubachangamoto niliyoipata wakati najenga nyumba yangu ndogo mafundi waliniibia mno kwani nilikuwa si muelewa wa vitu, yaani fundi alikuwa kila maora aniambie kimeisha hiki mara kile kumbe anakwapua pembeni yaani acha tu mpaka nimeamliza yaani nimekoma sana
🤣🤣Umenikumbusha mbali sanaa....wangu alikuwa ni Ustaadh ndevu swala 5 na suruali ya sunnah....aiseee ilibidi nitumie nguvu ya ziada....Wizi wa vifaa na mafundi.Fundi aliyenishangaza Sana ni WA vioo na rangi huyu nilimwamini sana kwa kuwa nilisikia kuwa ni Mchungaji wa Kanisa x lkn ajabu alinifanyia uhuni,nikabaki mdomo wazi.
[emoji3]Sitasahau wakati najenga msingi, niliporudi site jioni, nikakuta wamemwaga zege kwenye nguzo na imekaa upande, nikasema mbona nguzo hii sijaielewa, fundi uchwara akaniambia ikikauka tutatindua kidogo tu inakaa squire. Nikasema hapana, nikamtafuta fundi mmoja alikuwa anajenga site nyingine jirani kabisa na kwangu, tukakubaliana tubomoe inawezekana chini hakusuka kitako na kumwaka zege la uji, kufukua tukakuta jamaa kakunja nondo akaizamisha kwenye udongo dadeki!! Nikampigia fundi akaja kuona uozo wake, nilimfyatua na mkanda begani akainama nikalala naye chini alikula kipigo cha mbwa Koko hatasahau.
[emoji23][emoji23][emoji23],Dah!!, Watumishi wa MUNGU siku hizi sio waaminifu kabisa.[emoji1787][emoji1787]Umenikumbusha mbali sanaa....wangu alikuwa ni Ustaadh ndevu swala 5 na suruali ya sunnah....aiseee ilibidi nitumie nguvu ya ziada....
Dunia hii....[emoji1787][emoji1787]
changamoto niliyoipata wakati najenga nyumba yangu ndogo mafundi waliniibia mno kwani nilikuwa si muelewa wa vitu, yaani fundi alikuwa kila maora aniambie kimeisha hiki mara kile kumbe anakwapua pembeni yaani acha tu mpaka nimeamliza yaani nimekoma sana
Kuna fundi kaniomba nimwandikie qoutation ya mzigo wa finishing
Aisee halafu boss ni mmama nimemwonea huruma
Fundi amedouble bei Ila sina namna mi nipo kazini
Wamama wanapigwa mno yaani kitu cha 100,000 ananunua kwa 200,000
sana sana.kina dada ndio kundi linaongozea kupigwa.mfano unanunua kapet wanakupimia kwa futi moja 2500.sasa mpaka utimize mita 5 si balaaKuna fundi kaniomba nimwandikie qoutation ya mzigo wa finishing
Aisee halafu boss ni mmama nimemwonea huruma
Fundi amedouble bei Ila sina namna mi nipo kazini
Wamama wanapigwa mno yaani kitu cha 100,000 ananunua kwa 200,000
DUUUU JAMANI AISEEE POLE MWAYA ILA NINGEKUWA MM NISINGEMPA HELA KWANZA NINGEENDA NAYE HAPO DUKANI POLE MWAYA HATA HIVYO TUNAPIGWA MNO MAANA HATA MM MWENYEWE FUNDI ALINIPIGA PASIPO KUJUA ILA SASA NAJUA NIKO MACHO SANAKuna fundi kaniomba nimwandikie qoutation ya mzigo wa finishing
Aisee halafu boss ni mmama nimemwonea huruma
Fundi amedouble bei Ila sina namna mi nipo kazini
Wamama wanapigwa mno yaani kitu cha 100,000 ananunua kwa 200,000
KABISA YAANI ACHA WANALIZA SANA HAWA NA NI WAJANJA MNO MPAKA UJE KUFUNGUKA UNAKUWA UMESHALIWA SANAMafundi ni kubanana kama luba
DUUUU JAMANI AISEEE POLE MWAYA ILA NINGEKUWA MM NISINGEMPA HELA KWANZA NINGEENDA NAYE HAPO DUKANI POLE MWAYA HATA HIVYO TUNAPIGWA MNO MAANA HATA MM MWENYEWE FUNDI ALINIPIGA PASIPO KUJUA ILA SASA NAJUA NIKO MACHO SANA
HAHHAAAAAAAAAAAAAA hivi wanakuwa wameshawaambia wenye duka kuwa wanakuja ila wajanja sana aiseeHata uende nae dukani unapigwa
na ndo wengi wanafanya hvyo 200 kwa tofali mpaka 300.Kuna fundi kaniambia wanajenga kwa 200 tofali moja
So unahesabu tofali unazidisha mara 200 unamlipa mnaachana
Ah wapi wewe ukianza unenzi usiwe na mambo mengine wee tulia hapo site siku nzimaKABISA YAANI ACHA WANALIZA SANA HAWA NA NI WAJANJA MNO MPAKA UJE KUFUNGUKA UNAKUWA UMESHALIWA SANA
Kimsingi akuwekee quotation,DUUUU JAMANI AISEEE POLE MWAYA ILA NINGEKUWA MM NISINGEMPA HELA KWANZA NINGEENDA NAYE HAPO DUKANI POLE MWAYA HATA HIVYO TUNAPIGWA MNO MAANA HATA MM MWENYEWE FUNDI ALINIPIGA PASIPO KUJUA ILA SASA NAJUA NIKO MACHO SANA
Kwenye hela hakuna cha mtumishi..[emoji23][emoji23][emoji23],Dah!!, Watumishi wa MUNGU siku hizi sio waaminifu kabisa.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Dah!!,Dini zimeingiliwa kwa kweli.Kwenye hela hakuna cha mtumishi..
Kuna mmoja kapewa ramani kajifanya mjuaji alichokitoa tofauti na uhalisia, kupaua sasa muhusika anataka versatile zile.
Jamaa kapaua (fitting za mbao) bati za kawaida,
Anaulizwa anaanza jitetea..
Versatile zingehitaji mabo nyingi na bati nyingi, tumia tu migongo mipana.