Tuseme tu ukweli, ujenzi unahitaji kujinyima sana

Usidanganyike angalia hali uliyonayo, wengine wanafamilia kubwa itagharimu fedha nyingi kupanga hivyo, ni vema ukajenga.

Wenye famila ndogo, hilo linawezekana lakini pia kukaa nyumba uliojenga kwa design yako unayoipenda wewe ina raha sana.
Kuna rafiki angu kipindi naanza kujenga alikua ananizarau sana eti nanyima na kujenga nikuzika hela ,nikamwambia nikweli lakin kwa umri tulionao nina watoto 3 na ww una 2 tutaishi nyumb zakupanga hadi lini ,kanijibu maisha ni hayahaya ,leo hii mm niko kwangu yeye ndio anashtuka
 
Akili za kuambiwa changanya na zako, kwa nyumba niliojenga mimi nikitaka kupangisha sikosi 250,000 hivyo ingenigharimu zaidi ya 3,000,000 hiyo hela ni mtaji wa biashara ya bucha.
 
Kwenye ufundi bwana mimi sijawahi ona Nyumba inabomoka kwa sababu ufundi mbovu. Tumeishi huko mikoani nyumba zinajengwana mafundi very local. Tangu nizaliwe na sasa nazeeka sijawahi ona.

Ujenzi ni standards za wastani hakuna haja ya mbwembwe na gharama kubwa. Unless kama unajenga ghorofa
huo pia nakazia kwenye waya.mikoan huku kwetu kazuramimba wiring zote ni zile tuwaya tu na mnapiga umeme miaka yote.hku sasa mara hiv mara lakeage
 
changamoto niliyoipata wakati najenga nyumba yangu ndogo mafundi waliniibia mno kwani nilikuwa si muelewa wa vitu, yaani fundi alikuwa kila maora aniambie kimeisha hiki mara kile kumbe anakwapua pembeni yaani acha tu mpaka nimeamliza yaani nimekoma sana
Mafundi ni kubanana kama luba
 
Wizi wa vifaa na mafundi.Fundi aliyenishangaza Sana ni WA vioo na rangi huyu nilimwamini sana kwa kuwa nilisikia kuwa ni Mchungaji wa Kanisa x lkn ajabu alinifanyia uhuni,nikabaki mdomo wazi.
🤣🤣Umenikumbusha mbali sanaa....wangu alikuwa ni Ustaadh ndevu swala 5 na suruali ya sunnah....aiseee ilibidi nitumie nguvu ya ziada....

Dunia hii....🤣🤣
 
Sitasahau wakati najenga msingi, niliporudi site jioni, nikakuta wamemwaga zege kwenye nguzo na imekaa upande, nikasema mbona nguzo hii sijaielewa, fundi uchwara akaniambia ikikauka tutatindua kidogo tu inakaa squire. Nikasema hapana, nikamtafuta fundi mmoja alikuwa anajenga site nyingine jirani kabisa na kwangu, tukakubaliana tubomoe inawezekana chini hakusuka kitako na kumwaka zege la uji, kufukua tukakuta jamaa kakunja nondo akaizamisha kwenye udongo dadeki!! Nikampigia fundi akaja kuona uozo wake, nilimfyatua na mkanda begani akainama nikalala naye chini alikula kipigo cha mbwa Koko hatasahau.
[emoji3]
 
[emoji1787][emoji1787]Umenikumbusha mbali sanaa....wangu alikuwa ni Ustaadh ndevu swala 5 na suruali ya sunnah....aiseee ilibidi nitumie nguvu ya ziada....

Dunia hii....[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23],Dah!!, Watumishi wa MUNGU siku hizi sio waaminifu kabisa.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
changamoto niliyoipata wakati najenga nyumba yangu ndogo mafundi waliniibia mno kwani nilikuwa si muelewa wa vitu, yaani fundi alikuwa kila maora aniambie kimeisha hiki mara kile kumbe anakwapua pembeni yaani acha tu mpaka nimeamliza yaani nimekoma sana

Kuna fundi kaniomba nimwandikie qoutation ya mzigo wa finishing
Aisee halafu boss ni mmama nimemwonea huruma
Fundi amedouble bei Ila sina namna mi nipo kazini

Wamama wanapigwa mno yaani kitu cha 100,000 ananunua kwa 200,000
 
Hatari sanaa

sana sana.kina dada ndio kundi linaongozea kupigwa.mfano unanunua kapet wanakupimia kwa futi moja 2500.sasa mpaka utimize mita 5 si balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna fundi kaniomba nimwandikie qoutation ya mzigo wa finishing
Aisee halafu boss ni mmama nimemwonea huruma
Fundi amedouble bei Ila sina namna mi nipo kazini

Wamama wanapigwa mno yaani kitu cha 100,000 ananunua kwa 200,000
DUUUU JAMANI AISEEE POLE MWAYA ILA NINGEKUWA MM NISINGEMPA HELA KWANZA NINGEENDA NAYE HAPO DUKANI POLE MWAYA HATA HIVYO TUNAPIGWA MNO MAANA HATA MM MWENYEWE FUNDI ALINIPIGA PASIPO KUJUA ILA SASA NAJUA NIKO MACHO SANA
 
Hata uende nae dukani unapigwa
 
Kuna fundi kaniambia wanajenga kwa 200 tofali moja

So unahesabu tofali unazidisha mara 200 unamlipa mnaachana
na ndo wengi wanafanya hvyo 200 kwa tofali mpaka 300.

ujenzi wa nyumba unahitaji usimamizi wa mmiliki na ubora wa vifaa ila kusema umle fundi 3m sjui 5m akutolee boma sjui ndo atakujengea vizuri unaweza kulia vile vile alafu wa 900k akakucheka
 
DUUUU JAMANI AISEEE POLE MWAYA ILA NINGEKUWA MM NISINGEMPA HELA KWANZA NINGEENDA NAYE HAPO DUKANI POLE MWAYA HATA HIVYO TUNAPIGWA MNO MAANA HATA MM MWENYEWE FUNDI ALINIPIGA PASIPO KUJUA ILA SASA NAJUA NIKO MACHO SANA
Kimsingi akuwekee quotation,
Nenda kwenye maduka kazunguke uulize bei zao!
Kama ni vifaa waweza pata kwa ma agent nenda kwa hayo maduka,
Utapunguza kwa kiasi fulani upigaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23],Dah!!, Watumishi wa MUNGU siku hizi sio waaminifu kabisa.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Kwenye hela hakuna cha mtumishi..
Kuna mmoja kapewa ramani kajifanya mjuaji alichokitoa tofauti na uhalisia, kupaua sasa muhusika anataka versatile zile.
Jamaa kapaua (fitting za mbao) bati za kawaida,
Anaulizwa anaanza jitetea..
Versatile zingehitaji mabo nyingi na bati nyingi, tumia tu migongo mipana.
 
Dah!!,Dini zimeingiliwa kwa kweli.
 
Nimetumia kichuguu cha nchwa kujazia kifusi kwenye nyumba.. hapa naambiwa nahitaji kuikinga saana iyo nyumba kuhusiana na nchwa...

Napagawa tu hapa sielew hata napiga dawa gani .
Msaada wadau
 
Back
Top Bottom