Tuseme tu ukweli, ujenzi unahitaji kujinyima sana

Hahahah unakuta nyumba ina bonge la crack lakini watu wanaishi humo miaka, labda lije tetemeko. Mimi msingi wa nyumba yangu ni mawe, lita ni nondo 4 za 12mm tofali nilifyatua na kuzipiga maji mwenywe yaani tofali hata kutoboa na drill inapata tabu, msumari hauingii lakini naona crack sehemu nyingi kutokana na jua pamoja na movement of soil, udongo kwangu ni wa mfinyanzi unapasuka sana kiangazi.
 
Shukran mzee...hapa napiga madawa mpaka wataelewa...na rough flor napiga zege.. wakitoboa hapo wao wanaume...

Kichuguu nimefata unafuu bro msingi ni mkubwa...bila kichuguu ningetumia million na ushee kukijaza... Ila kwa kivhuguuu nimetumia laki 4 tu...

Hapa cha msingi ni kukabiliana nao tu.. madogo yao local tu sio gharama.

Kuna iyo ta nchwa ya maduka ya kilimo. Oil chafu,chumvi, zege, dawa za asili, n.k

Watanyooka tu.. ni man to man
 
Wadau bomba kama hizi au za aina hii kwa ajili ya kingo za ngazi au balcony au urembo naweza kuzipata kwa shn
Ngap ngapa kwa vipimo tofaut.. huku mkoani hakuna kabisa
 
nyumba imenipiga hela Hadi akili imenikaa sawa japo nina farijika na nilicho fanya sahiv nmebakiza tiles na aluminium vifaa vimepanda bei knoma hesabu tu ya tiles inihitaji 4M na point huko dah bado dirisha za aluminium zimefumuka nazo bei Yan sahiv serekali inatufanya tuwe maskini zaid
 
Al.sa hiv km mbao tu mzee bomba ukipiga frem moja bei kama za mninga
 
Iringa mkuu
Hapana milin mbili Hapana sitoi hata iwaje.
Huyu mwingine kasema ananionesha site alizofanya nizione,mkuu lazima ukubali kuna mafundi wazur sema hawana majina
 
Hongera kwa kufika huko
 
Mimi nimebadili mafundi mara 4 kuanzia msingi na BOMA yaani wasumbufu na wengine ni uchwara nafukuza ila uwa nakuwa makini kwenye pesa,fundi akiomba pesa kadhaa mpe sound apige Kazi au unampa kiduchu maana unampa nyingi afu anapotea.
 
Aisee nimefukia mil.5 kwenye BOMA tuu bajeti imeenda nje ya makadirio.

nilitaka nipaue nimeghairi kwanza maana unamwaga mil.12 hadi kupaua lakini huwezi kuhamia ,bora kujenga kwa stage kama sio pedeshee
Hizo gharama za Boma ni jumuisho la ufundi na materials????
 
Mimi nimebadili mafundi mara 4 kuanzia msingi na BOMA yaani wasumbufu na wengine ni uchwara nafukuza ila uwa nakuwa makini kwenye pesa,fundi akiomba pesa kadhaa mpe sound apige Kazi au unampa kiduchu maana unampa nyingi afu anapotea.

Hii habari ndio napitia kwa wakat huu nahisi hadi boma langu liishe ntakua nimebadili mafundi kama watatu ,fundi wa kwanza nimempa apandishe tofali kozi saba amepandisha ila kuna mapungufu kibao imebidi nibadili fundi sasa nipo namsikilizia huyu wa sahivi,hiki kitu kinaumiza sana unapoteza mda na pesa wakati mwingine
 
Aisee nimefukia mil.5 kwenye BOMA tuu bajeti imeenda nje ya makadirio.

nilitaka nipaue nimeghairi kwanza maana unamwaga mil.12 hadi kupaua lakini huwezi kuhamia ,bora kujenga kwa stage kama sio pedeshee

Kweli angalau ukijenga kwa stage maumivu unayasikilizia taratibu[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…