Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Naam,ndo kwetu hukoNjombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam,ndo kwetu hukoNjombe
Hahahah unakuta nyumba ina bonge la crack lakini watu wanaishi humo miaka, labda lije tetemeko. Mimi msingi wa nyumba yangu ni mawe, lita ni nondo 4 za 12mm tofali nilifyatua na kuzipiga maji mwenywe yaani tofali hata kutoboa na drill inapata tabu, msumari hauingii lakini naona crack sehemu nyingi kutokana na jua pamoja na movement of soil, udongo kwangu ni wa mfinyanzi unapasuka sana kiangazi.Kwenye ufundi bwana mimi sijawahi ona Nyumba inabomoka kwa sababu ufundi mbovu. Tumeishi huko mikoani nyumba zinajengwana mafundi very local. Tangu nizaliwe na sasa nazeeka sijawahi ona.
Ujenzi ni standards za wastani hakuna haja ya mbwembwe na gharama kubwa. Unless kama unajenga ghorofa
Shukran mzee...hapa napiga madawa mpaka wataelewa...na rough flor napiga zege.. wakitoboa hapo wao wanaume...Ulikosea mkuu wenzako wanakimbia vichuguu wewe unahamishia ndani?
Hata mimi nilikutana na changamoto ya mchwa sasa namna ya kuwathibiti fanya hivi,nunua sumu ya mchwa tafuta watu wanaohusika na fumigation kabla hujamwaga jamvi (ile zege ya kupokelea tiles) wamwagie nyumba nzima kisha jamvi lije juu.
Kisha kila baada ya muda fulani let say mwaka ½ unanunua tena sumu ita mtu achimbe pembeni ya ukuta kwa nje nyumba nzima kiasi cha fut 1 kwenda chini amwage mchanga (huu wa kujengea) kisha amwage sumu juu yake then udogo kufunika.
Ni mazingira yameshakuwa hivyo huna namna ya kufanya.
Al.sa hiv km mbao tu mzee bomba ukipiga frem moja bei kama za mninganyumba imenipiga hela Hadi akili imenikaa sawa japo nina farijika na nilicho fanya sahiv nmebakiza tiles na aluminum vifaa vimepanda bei knoma hesabu tu ya tiles inihitaji 4M na point huko dah bado dirisha za aluminum zimefumuka nazo bei Yan sahiv serekali inatufanya tuwe maskini zaid
Hapa pana shida,huyu wa laki9 hiyo dificit 2.1 mill ataitoa wapi?
Unapochuja mafundi uchuje kwa akili utakuja kukutana na mafundi wa bei rahisi wakupige materials mpaka uchanganyikiwe,binafsi naamini (kama ni Dar) huyu wa mill tatu yupo kwenye nafasi nzuri ya kufanya kazi yenye ubora maana anaonekana anajua anachokifanya.
Hongera kwa kufika hukonyumba imenipiga hela Hadi akili imenikaa sawa japo nina farijika na nilicho fanya sahiv nmebakiza tiles na aluminium vifaa vimepanda bei knoma hesabu tu ya tiles inihitaji 4M na point huko dah bado dirisha za aluminium zimefumuka nazo bei Yan sahiv serekali inatufanya tuwe maskini zaid
We ahirisha tuu 😆😆Daa mimi hata sijapaua nipo msingi ila nimeshachoka hapa nilipo🥲
Mimi nimebadili mafundi mara 4 kuanzia msingi na BOMA yaani wasumbufu na wengine ni uchwara nafukuza ila uwa nakuwa makini kwenye pesa,fundi akiomba pesa kadhaa mpe sound apige Kazi au unampa kiduchu maana unampa nyingi afu anapotea.Sitasahau wakati najenga msingi, niliporudi site jioni, nikakuta wamemwaga zege kwenye nguzo na imekaa upande, nikasema mbona nguzo hii sijaielewa, fundi uchwara akaniambia ikikauka tutatindua kidogo tu inakaa squire. Nikasema hapana, nikamtafuta fundi mmoja alikuwa anajenga site nyingine jirani kabisa na kwangu, tukakubaliana tubomoe inawezekana chini hakusuka kitako na kumwaka zege la uji, kufukua tukakuta jamaa kakunja nondo akaizamisha kwenye udongo dadeki!! Nikampigia fundi akaja kuona uozo wake, nilimfyatua na mkanda begani akainama nikalala naye chini alikula kipigo cha mbwa Koko hatasahau.
Aisee nimefukia mil.5 kwenye BOMA tuu bajeti imeenda nje ya makadirio.Wewe jinyime uingie ndani ya Nyumba mpya na vidonda vya tumbo
Hizo gharama za Boma ni jumuisho la ufundi na materials????Aisee nimefukia mil.5 kwenye BOMA tuu bajeti imeenda nje ya makadirio.
nilitaka nipaue nimeghairi kwanza maana unamwaga mil.12 hadi kupaua lakini huwezi kuhamia ,bora kujenga kwa stage kama sio pedeshee
Of courseHizo gharama za Boma ni jumuisho la ufundi na materials????
Umejenga wapi mkuu kwa gharama hiyo? Ni nyumba ya vyumba vingapi?Of course
Mimi nimebadili mafundi mara 4 kuanzia msingi na BOMA yaani wasumbufu na wengine ni uchwara nafukuza ila uwa nakuwa makini kwenye pesa,fundi akiomba pesa kadhaa mpe sound apige Kazi au unampa kiduchu maana unampa nyingi afu anapotea.
Aisee nimefukia mil.5 kwenye BOMA tuu bajeti imeenda nje ya makadirio.
nilitaka nipaue nimeghairi kwanza maana unamwaga mil.12 hadi kupaua lakini huwezi kuhamia ,bora kujenga kwa stage kama sio pedeshee
Aisee nimefukia mil.5 kwenye BOMA tuu bajeti imeenda nje ya makadirio.
nilitaka nipaue nimeghairi kwanza maana unamwaga mil.12 hadi kupaua lakini huwezi kuhamia ,bora kujenga kwa stage kama sio pedeshee
Aisee nimefukia mil.5 kwenye BOMA tuu bajeti imeenda nje ya makadirio.
nilitaka nipaue nimeghairi kwanza maana unamwaga mil.12 hadi kupaua lakini huwezi kuhamia ,bora kujenga kwa stage kama sio pedeshee