Tuseme ukweli kazi ya urubani imekuwa rahisi sana ukilinganisha na zamani walivyokuwa wanaheshimika

Tuseme ukweli kazi ya urubani imekuwa rahisi sana ukilinganisha na zamani walivyokuwa wanaheshimika

Urubani ni sawa sawa na udereva wa gari.

Kama una nia ya kujua.. na school fees unayo ya kulipia chuo mtu yeyote anakuwa rubani.

Kuwa daktari ama engineer ni kazi ngumu kuliko kuwa rubani

Ukweli mtoto ambaye hajasoma/hajafaulu Physics kumpeleka chuo cha Urubani eti kwa sababu una hela, utakuwa unamuonea kwani kuna basics ndogo ndogo nyingi ambazo ni more academic huwezi kufundishwa huko kwenye chuo cha urubani. Pengine aishie kuendesha hivi vindege vidogo vidogo kama C208 vinavyo kwenda umbali mfupi.

Mtu aliye faulu Physics na akawa na knowledge kidogo ya Geography ...ndege anaendesha kwa haraka sana...lakini muhimu zaidi usahihi wake katika kufanya maamuzi unakuwa ni mkubwa sana tofauti na hao wengine....
Kama mtoto anatamani kuwa pilot, hakikisha anasoma Combination yenye Physics akichanganya na Geography ni bora zaidi. Kuendesha ndege kila mtu anaweza ila TATIZO KUBWA LIPO KWENYE KUFANYA MAAMUZI YA HARAKA NA SAHIHI na ndipo hapo Physics na Hesabu inapo toa mchango wake!
 
Back
Top Bottom