Tuseme ukweli, kisiwa cha Mafia umeshawahi kusikia habari yoyote mfano kama Serikali zinavyofanyika mikoa mingine

Tuseme ukweli, kisiwa cha Mafia umeshawahi kusikia habari yoyote mfano kama Serikali zinavyofanyika mikoa mingine

Kwani Mafia na Liwale wanacgangia mini ktkt uchumi WA taifa hili? TRA Tu mwaka Jana Lindi ilikuwa ya mwisho walikusanya kama 10 bilioni wakati Arusha bila utalii walikusanya 540 bilioni
 
Kwani Mafia na Liwale wanacgangia mini ktkt uchumi WA taifa hili? TRA Tu mwaka Jana Lindi ilikuwa ya mwisho walikusanya kama 10 bilioni wakati Arusha bila utalii walikusanya 540 bilioni
LIWALE - korosho, ufuta, mbaazi nk ni mazao ya biashara yanaingiza pato kubwa sana
MAFIA - uvuvi hasa wa dagaa mchele, ndo inalisha dsm, mikoani na wafanya biashara wa nchi jirani wamejaa wananunua dagaa hasa wakongo na warwanda zinaingia pesa za kigeni na watalii wazungu kibao wamejaa utende hivyo sio sehemu za kuchukulia poa pato lipo
 
Hamuangalii taarifa ya habari nyie.
Hata maendeleo yanayotangazwa kila siku hamuyasikii?
Ujenzi, utalii.
You will never listen to something that doesn't pick your ears ipo hvo
 
Spice_Islands_(Tanzania).jpg
 
Ok mkuu na usafiri wa boat je? Na vipi transport fare za boats from Dar harbour to Mafia?
Usafiri wa kwenda mafia unaanzia nyamisati Gari zipo mbagala pale, Nauli itakuwa imefika elfu 10 kwa sasa, mara ya mwisho nimeenda mafia ilikuwa elfu 5, Nauli ya Kivuko ilikuwa elfu Ishirini inaweza kuwa imefika 25000 kwa sasa, muda wa kivuko kwenda mafia ni saa kumi jioni, Mafia kuzuri mno hasa upande wa beach...Wazungu tele,wanakimbia wazee wa kudenga Zenji,Wanaenda kutulia mafia
 
Aaah usafiri unaanza jioni? That means mnasafiri usiku baharini right? How long does it take from hapo Nyamisati to kisiwani Mafia mkuu?
 
Duh, nilikuwa na ndoto ya siku moja nitembelee hiki kisiwa kama mambo yenyewe ndio kama hivi basi balaa.
Usafiri wa kwenda mafia ni shida sana si ndege si boti.

Vindege vinavyoenda ikifika katikati ya bahari huwa vinayumba hatari.

Boti sijui kivuko kile unaweza panga safari week usitoboe pale Nyamisati.
 
Aaah usafiri unaanza jioni? That means mnasafiri usiku baharini right? How long does it take from hapo Nyamisati to kisiwani Mafia mkuu?
Mafia imetoa Naibu waziri wa Elimu ndugu Kipanga.

Usiku wote upo safarini, inahitaji uwe na roho ngumu sana kama sio mzoefu wa kutumia vyombo vya baharini.

Lakini ndo maisha yao.
 
Back
Top Bottom