Tuseme ukweli tu, Hayati Magufuli aliivuruga sekta ya ujenzi akiwa Rais

Roho mbaya na isiyo ya kistaarabu ndiyo imemfikisha huko aliko.
Kampuni nyingi za wazalendo (contractors, Engineering Cosultancy, Quantity Surveyors na Architects) waliokuwa wakiajiri watu wengi na kulipa kodi stahiki, zimefungwa toka Awamu ya 5.
naunga mkono hoja
 
Nchi hii tatizo lilianzia kwa akina mkapa kutuletea mwenyekiti wa chama ambaye hajawahi kuwa hata Kiongozi wa Shina
Kweli kabisa.
Prof Mwandosya aliwahi kuhoji, huyu mtu hakijui chama, hajawahi hata kuwa kiongozi ngazi ya kata.
Alinangwa kisawasawa.
Matokeo tumeyaona tungali hai.
 
Asante mdau mwenzangu.
Haya mambo halisia wengi hawayajui tulivyoumizwa na huyu Ibilisi.
 
Hayo uliyotaja ukiacha Ubungo kuna mradi hata mmja umekamilika au aliishia kuweka Jiwe la msingi tuu Ili apate sifa za wanyonge kwa miaka 6?

Mbona Samia kafanya mengi zaidi ya hayo kwa mwaka wake mmja?
 
Kazi ya Jiwe na Wazalendo uchwara wenzake hii hapa 👇

Mkuu umepata jibu Kebbys Hotel ya nani?
Hayo ni majukumu ya Brela mkuu, mhusika anafahamika akitaka kujua.

Ni sawa mtu akuulize mwenye Simba Energy, GSM, Lake Oil, IPTL na Richmond ni nani majibu ni rahisi tu na wamiliki wapo kwenye data base za Brela information ambayo ipo for public use.
 
Hayo uliyotaja ukiacha Ubungo kuna mradi hata mmja umekamilika au aliishia kuweka Jiwe la msingi tuu Ili apate sifa za wanyonge kwa miaka 6?

Mbona Samia kafanya mengi zaidi ya hayo kwa mwaka wake mmja?
Ukisikia mama anasema Kazi iendelee kunakitu unachoelewa ama unatumbua machotu.

Taja miradi ambayo magu aliwekatu jiwe la msingi na ambayo haikuanza katika utawalawake, ama unazungumzia jiwe la msingi la bandari ya bagamoyo.

Chekecha ubongowako kidogo.
 
mnapambana sana kumchafu jemedari lakin kwa kazi aliyoipiga hamuwezi enedeleeni kuimba wimbo wenu wa anaupiga mwingi tutakutana 2025
Kazi gani? Kujenga tudaraja huto?
 
Jiwe alikuwa mhalifu na mharibifu
 
Jibu unalijua fika lakini unamficha mfaidika mwenza wa upendeleo , ufisadi na ukabila.
 
Acha kuropoka bila kusoma na kuelewa.Kasome upya comment yangu ndio uje kuchangia..
 
Hayo uliyotaja ukiacha Ubungo kuna mradi hata mmja umekamilika au aliishia kuweka Jiwe la msingi tuu Ili apate sifa za wanyonge kwa miaka 6?

Mbona Samia kafanya mengi zaidi ya hayo kwa mwaka wake mmja?
Hata Ubungo haijakamilika.
Ameacha vilio na vifo watu kubomolewa bila fidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…