Tuseme ukweli tu, Hayati Magufuli aliivuruga sekta ya ujenzi akiwa Rais

Tuseme ukweli tu, Hayati Magufuli aliivuruga sekta ya ujenzi akiwa Rais

Bado haikuwa tiketi inayomruhusu kufanya ufisadi. Ni kwamba jamaa alikuwa mbinafsi, katili na anataka apate peke yake. Rot in Hell Magufuli
CCM ilituangusha sana kutuletea huyu fisadi katili, mbinafsi, mkabila na mwenye traits za uuaji.
Hata Membe aliwahi kusema nchi ilikosea sana kuto angalia uraia kikamilifu wa huyu mtu.
 
Tulio sekta ya ujenzi bado hatujatengemaa kutokana na vurugu tulizopitia miaka hii mitano.

Kabla ya kupata urais Magufuli na sekta ya ujenzi tulikuwa chanda na pete.

Mikutano yote ya wajenzi alihudhuria tena kwa kujipigia chapuo kuwa kwa Rais iwe Mkapa au Kikwete.

Sasa alipopata Urais tukifikiri sasa tutakula bata!

WACHA!

Kwanza kazi zote za serikali akaamuru wapewe TBA, JKT-SUMA Magereza.

Consultancy zote zikaamriwa zifanyike Chuo cha ARDHI.

Hapo makampuni mengi tu yakafa, iwe ya ujenzi au ya consultancy.

Hatujakaa sawa Mwamba akaamuru kazi zote zifanywe kwa mtindo wa Force Account.

Kuna watendaji serikalini wakaenda mbali na kuwapiga marufuku makandarasi katika kazi zozote za Halmashauri au serikali!
Makampuni mengi yakafa mkupuo wa pili.
Sekta aikadhurika sana.

Sekta hii duniani kote ndio ina sambaza fedha kwa uchumi na umma, iwe vibarua, mama ntilie, mabenki na hata ulipaji wa kodi.

Mpaka sasa sekta haijatengemaa vizuri hata baada ya kuona madudu ya TBA, SUMA-JKT, MAGEREZA na vyombo vingine vya serikali ambavyo kuna sehemu vimefanya kazi chini kabisa ya viwango na havisambazi fedha kwenye uchumi.

Tukubali tu Magufuli aliivuruga sekta ya ujenzi akiwa Rais.
Sina nyongeza umemaliza kila kitu.
 
wote mlio zungumza humu inaonyesha akili zenu haziko sawa hata kidogo so cha kufanya nendeni mkalale mfanye mazoezi alafu mwingie kufikiri tena maybe mnaweza kuja na wazo jipya mkiona bado hamko sawa kunyweni maji mengi sana kwa wakati mmoja mshinde chooni labda apo mtakaa sawa, mkiona bado kazaliweni upya kwa mara ya pili mkikua mtajua
 
Mkuu hao wapambe wa Magufuli hawajatueleza, alipata wapi fedha za kujenga Kebbys zHotel , jengo la ghorofa nafikiri nane au zaidi.
"Unafikiri"??
Haya ndio madhara ya vyeti feki, yani mpo wawilitu kwenye huu uzi kama wachawi mnapokezana kulialia.

Mnaonge mambo yasio nakichwa wala miguu, mambo yasiyo eleweka na wajinga wenzenu wanawasapoti.

Wakati unaongea upumbavu kuhusu ujenzi watu wanaona reality ubungo,sarenda,kimara mail moja,stand za kisasa nchi nzima, bwawa la umeme,daraja la busisi,standard gauge,daraja la mto wami,Kilwa road, tazara hispital zaidi ya mia tatu,namengine mengi ambayo pamoja aakili zenu ndogo mnayajua.

Mtakufa na stress nyie vichwamaji somesheni watotowenu vyeti feki vimewaumiza zana.
 
Wawili?
Mbinafsi, katili, mkabila na muuaji kama yule jamaa.
Hayo ndio mnayoyafagilia warundi nyie.
 
Tulio sekta ya ujenzi bado hatujatengemaa kutokana na vurugu tulizopitia miaka hii mitano.

Kabla ya kupata urais Magufuli na sekta ya ujenzi tulikuwa chanda na pete.

Mikutano yote ya wajenzi alihudhuria tena kwa kujipigia chapuo kubwa kwa Rais iwe Mkapa au Kikwete.

Sasa alipopata Urais tukifikiri sasa tutakula bata!

WACHA!

Kwanza kazi zote za serikali akaamuru wapewe TBA, JKT-SUMA Magereza.

Consultancy zote zikaamriwa zifanyike Chuo cha ARDHI.

Hapo makampuni mengi tu yakafa, iwe ya ujenzi au ya consultancy.

Hatujakaa sawa Mwamba akaamuru kazi zote zifanywe kwa mtindo wa Force Account.

Kuna watendaji serikalini wakaenda mbali na kuwapiga marufuku makandarasi katika kazi zozote za Halmashauri au serikali!
Makampuni mengi yakafa mkupuo wa pili.
Sekta aikadhurika sana.

Sekta hii duniani kote ndio ina sambaza fedha kwa uchumi na umma, iwe vibarua, mama ntilie, mabenki na hata ulipaji wa kodi.

Mpaka sasa sekta haijatengemaa vizuri hata baada ya kuona madudu ya TBA, SUMA-JKT, MAGEREZA na vyombo vingine vya serikali ambavyo kuna sehemu vimefanya kazi chini kabisa ya viwango na havisambazi fedha kwenye uchumi.

Tukubali tu Magufuli aliivuruga sekta ya ujenzi akiwa Rais.
Rekebisheni sasa, wakati ndio huu.
 
Ile tender ya ujenzi wa uwanja wa Chato ilikaa kifisadi sana na tenda ilitengenezwa ili mkandarasi fulani tu apate.
Tenda ilitangazwa magazetini kama ya kitaifa(National bidding)
Aliyeitangaza toka kitengo cha Procurement wizara ya ujenzi akafukuzwa kazi na Magufuli , kwa nini kaitangaza kitaifa (kama sheria za Tender za PPRA zinavyotaka).

Mwamba akaamuru itangazwe upya ili Tenda iwe kwa makampuni ya Kanda ya Ziwa tu(hapo ikilengwa kampuni ya Mayanga).
Jamaa alikuwa ni fisadi papa
 
Awamu yake ndio ilikua na ufisadi wa kiwango Cha juu Sana kuliko awamu zote zilizopita
Magufuli aliiba Tshs 1.5 Trilioni mchana kweupe.
Taratibu za checks and balance kupitia CAG walipohoji, akamtimua kazi.

Leo hata CCM hawahoji hili.
 
Roho mbaya na isiyo ya kistaarabu ndiyo imemfikisha huko aliko.
Kampuni nyingi za wazalendo (contractors, Engineering Cosultancy, Quantity Surveyors na Architects) waliokuwa wakiajiri watu wengi na kulipa kodi stahiki, zimefungwa toka Awamu ya 5.
Na Hadi Leo nyingi bado zimefumgwa. Mimi Ni muathirika wa hii regime ya Magufuli, Ni mdau sekta ya ujenzi ndani ya utawala wake mambo yalipoanza kuwa magumu, nikakimbilia kwenye kilimo, wee nilichokutana nacho Mungu anajua. Yaani Magufuli sitamsahau, nilipoteza almost mtaji wangu wote na Sasa najikongoja kuanza upya na uzee ndiyo unapiga hodi kwa Kasi.
 
Hili ndilo tatizo la watanganyika wengi,kila mtu anaitazama Serikali imwajili au imugawie kazi,akuna mtu mwenye ubunifu wa wasomi kujitajitafutia, mbona enzi za Mkapa na Kikwete hao wakandarasi walikuwa wanapata tenda mwisho wanazigawa kwa wageni wao wanapata 10/% uzuri wa Magufuri alikuwa anajua ukweli wote,hivo alivyoingia hakuangaika Sana hakaamua kazi kubwa awape tasisi za Serikali ili mtu akiboronga hatambana kwa sheria za utumishi,sio hao watu binafisi akibanwa anakimbilia mahakamani kupoteza mda, ndio maana Magufuri amefanya Mambo mengi kwa mda mfupi.
Na Mayanga ilikuwa taasisi ya Serikali. Nawe Ni wale wale tu, wacha niishie hapa.
 
Alikuwa ana wivu sana akiona mtu anapata hela, yaani alikuwa na mshahara wa milioni karibu thelasini, lakini alikuwa tayari kumuonea wivu mfagia Ofisi anayepata mshahara wa laki mbili na nusu.

Alikuwa na kampuni ya ukandarasi ya mayanga ndio alikuwa anaijazia tenda mpaka kujenga uwanja wa ndege chato kwa bilioni arobaini, mayanga imejenga barabara karibu zote za Kanda ya ziwa, lakini makampuni ya wakandarasi ya wenzake anayanyima tenda.

Nasikia hata wale madogo wa JKT waliolitibua dodoma, mpunga waliotakiwa kulipwa uli@(-$-+@((@(@@@ na jiwe

Ni mtu aliyekuwa amejaa roho mbaya sana na ukatili wa hali ya juu
mnapambana sana kumchafu jemedari lakin kwa kazi aliyoipiga hamuwezi enedeleeni kuimba wimbo wenu wa anaupiga mwingi tutakutana 2025
 
Na Hadi Leo nyingi bado zimefumgwa. Mimi Ni muathirika wa hii regime ya Magufuli, Ni mdau sekta ya ujenzi ndani ya utawala wake mambo yalipoanza kuwa magumu, nikakimbilia kwenye kilimo, wee nilichokutana nacho Mungu anajua. Yaani Magufuli sitamsahau, nilipoteza almost mtaji wangu wote na Sasa najikongoja kuanza upya na uzee ndiyo unapiga hodi kwa Kasi.
Asante mkuu kwa mfano mwingine hai.
Kuna wafaidika wa upendeleo, dhuluma, ubambikaji kesi na uvurugaji wa sekta ya ujenzi.
Watu wanafikiri tunamnanga tu Magufuli, kuna watu wamekufa kutokana na presha wakiona nyumba zao zinanadiwa.
Sasa hao watamsifu vipi sijui Magufuli.
 
Back
Top Bottom