masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Jamaa alikuwa anajenga barabara kwa wingi kanda ya ziwa tu.Poleni mnaona mabaya tu mazuri yake hamyaoni barabara nyingi mnapita ila ni usimamizi wake thabiti ndo mnaziona mnajifanya hamuoni hata huko vijijini wazee wetu wanawasha umeme kwa bei chee vitu bei ilipungua ila sasa viko juu bado mnamsema yule mzee kwa mapungufu yake madogo wakati tz hata wakenya walianza kuogopa tutawapita ila sasa wanatucheka sana kwamba hatuna kiongozi mwenye vision.
Kwingine ilikuwa kama kujazia jazia.
Hapa Mbeya barabara kuu kwenda Zambia iko vile vile toka enzi ya Mwalimu.
Pale Mbalizi ni vifo kila mwezi utafikiri Magufuli hakuiona miaka 20 aliyokuwa Ujenzi.
Watu wskisema Magufuli alikuwa mkabila na upendeleo hamuoni, hamsikii.