Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Sio ujenzi tu, kavuruga taifa zima fisadi papa yule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pamoja na yote hayo…Hayati John Magufuli ndio Mtanzania aliehusika moja kwa moja na masuala ya ujenzi wa miundombinu kuliko Raia yeyote yule
kwa Hayati Benjamin Mkapa alihudumu Kama Naibu wa ujenzi maika 5 na kama waziri kamil kwa miaka mitano…
kwa Jakaya kahudumu kama Waziri wa Ujenzi 5 years
kama Rais kahudumu kama Rais was Ujenzi 6 years
kwa ujumla kahudumu kwa miaka 21 na kafanya kazi kubwa Sana
Leo tumekusoma ndiyo maana una chuki zisizo na kichwa wala miguu kwa JPMTulio sekta ya ujenzi bado hatujatengemaa kutokana na vurugu tulizopitia miaka hii mitano.
Kabla ya kupata urais Magufuli na sekta ya ujenzi tulikuwa chanda na pete.
Mikutano yote ya wajenzi alihudhuria tena kwa kujipigia chapuo kuwa kwa Rais iwe Mkapa au Kikwete.
Sasa alipopata Urais tukifikiri sasa tutakula bata!
WACHA!Kwanza kazi zote za serikali akaamuru wapewe TBA, JKT-SUMA Magereza.
Consultancy zote zikaamriwa zifanyike Chuo cha ARDHI.
Hapo makampuni mengi tu yakafa, iwe ya ujenzi au ya consultancy.
Hatujakaa sawa Mwamba akaamuru kazi zote zifanywe kwa mtindo wa Force Account.
Kuna watendaji serikalini wakaenda mbali na kuwapiga marufuku makandarasi katika kazi zozote za Halmashauri au serikali!
Makampuni mengi yakafa mkupuo wa pili.
Sekta aikadhurika sana.
Sekta hii duniani kote ndio ina sambaza fedha kwa uchumi na umma, iwe vibarua, mama ntilie, mabenki na hata ulipaji wa kodi.
Mpaka sasa sekta haijatengemaa vizuri hata baada ya kuona madudu ya TBA, SUMA-JKT, MAGEREZA na vyombo vingine vya serikali ambavyo kuna sehemu vimefanya kazi chini kabisa ya viwango na havisambazi fedha kwenye uchumi.
Tukubali tu Magufuli aliivuruga sekta ya ujenzi akiwa Rais.
Hili ndilo tatizo la watanganyika wengi,kila mtu anaitazama Serikali imwajili au imugawie kazi,akuna mtu mwenye ubunifu wa wasomi kujitajitafutia, mbona enzi za Mkapa na Kikwete hao wakandarasi walikuwa wanapata tenda mwisho wanazigawa kwa wageni wao wanapata 10/% uzuri wa Magufuri alikuwa anajua ukweli wote,hivo alivyoingia hakuangaika Sana hakaamua kazi kubwa awape tasisi za Serikali ili mtu akiboronga hatambana kwa sheria za utumishi,sio hao watu binafisi akibanwa anakimbilia mahakamani kupoteza mda, ndio maana Magufuri amefanya Mambo mengi kwa mda mfupi.Siyo sekta ya ujenzi tu,aliivuruga nchi nzima. Alaaniwe hata huko jehanam aliko
Kukosa kazi ndo unaita chuki zisizo na miguu?Leo tumekusoma ndiyo maana una chuki zisizo na kichwa wala miguu kwa JPM
Ni sredi nyingi unaanzisha za kumnang’a JPM na nyingine zikizidi huwa tunakusitua. Kumbe matumbo yenu!Kukosa kazi ndo unaita chuki zisizo na miguu?
Nikaribishe kwenu nije kula milo mitatu kila siku.
Sawa!nami nampongeza kwa yale aliyosimamia na kutekeleza hadi tukashudia maboresho ya miundo mbinu …wewe ulie 'jikoni ' unaeona tusiyoyaona sie wajinga wajinga una uhuru wa kumlaumu
Sijaajiriwa na babaako.Ni sredi nyingi unaanzisha za kumnang’a JPM na nyingine zikizidi huwa tunakusitua. Kumbe matumbo yenu!
Imugaiwie ×Hili ndilo tatizo la watanganyika wengi,kila mtu anaitazama Serikali imwajili au imugawie kazi,akuna mtu mwenye ubunifu wa wasomi kujitajitafutia, mbona enzi za Mkapa na Kikwete hao wakandarasi walikuwa wanapata tenda mwisho wanazigawa kwa wageni wao wanapata 10/% uzuri wa Magufuri alikuwa anajua ukweli wote,hivo alivyoingia hakuangaika Sana hakaamua kazi kubwa awape tasisi za Serikali ili mtu akiboronga hatambana kwa sheria za utumishi,sio hao watu binafisi akibanwa anakimbilia mahakamani kupoteza mda, ndio maana Magufuri amefanya Mambo mengi kwa mda mfupi.
Kumnang'a ×Ni sredi nyingi unaanzisha za kumnang’a JPM na nyingine zikizidi huwa tunakusitua. Kumbe matumbo yenu!
Uongo wa mchana.Hili ndilo tatizo la watanganyika wengi,kila mtu anaitazama Serikali imwajili au imugawie kazi,akuna mtu mwenye ubunifu wa wasomi kujitajitafutia, mbona enzi za Mkapa na Kikwete hao wakandarasi walikuwa wanapata tenda mwisho wanazigawa kwa wageni wao wanapata 10/% uzuri wa Magufuri alikuwa anajua ukweli wote,hivo alivyoingia hakuangaika Sana hakaamua kazi kubwa awape tasisi za Serikali ili mtu akiboronga hatambana kwa sheria za utumishi,sio hao watu binafisi akibanwa anakimbilia mahakamani kupoteza mda, ndio maana Magufuri amefanya Mambo mengi kwa mda mfupi.
Ndio maana wizi ukawa mkubwa sana, akawa anazitunza kwa bosi wa tanroad, alipodanja, bosi anaitwa kuulizwa, huu mpunga wote umeutolea wapi, serikali inautaifisha, aliposikia hivyo, presha ikapanda, akafapamoja na yote hayo…Hayati John Magufuli ndio Mtanzania aliehusika moja kwa moja na masuala ya ujenzi wa miundombinu kuliko Raia yeyote yule
kwa Hayati Benjamin Mkapa alihudumu Kama Naibu wa ujenzi maika 5 na kama waziri kamil kwa miaka mitano…
kwa Jakaya kahudumu kama Waziri wa Ujenzi 5 years
kama Rais kahudumu kama Rais was Ujenzi 6 years
kwa ujumla kahudumu kwa miaka 21 na kafanya kazi kubwa Sana
Mkuu hao wapambe wa Magufuli hawajatueleza, alipata wapi fedha za kujenga Kebbys zHotel , jengo la ghorofa nafikiri nane au zaidi.Ndio maana wizi ukawa mkubwa sana, akawa anazitunza kwa bosi wa tanroad, alipodanja, bosi anaitwa kuulizwa, huu mpunga wote umeutolea wapi, serikali inautaifisha, aliposikia hivyo, presha ikapanda, akafa
Huu ndio usahihiSio ujenzi tu aliharibu kila sehemu .
Kweli wewe ni mtoto wa shule.Nami nakiri, kila sehemu kulikokiwa na ufisadi MWAMBA MAGUFULI aliharibu na kuparudisha kwenye mstari!
Umenena kwa uchungu sana mkuu.Lile jamaa lilikuwa na roho mbaya tu,alijenga hoja nyepesi eti ni wapigaji ukimbana tuonyeshe wanapigaje wakati sio walipaji hana majibu,
Alakaleta mbwembwe. Na uingo na upotoshaji, eti bil 10 zinatosha kujenga mabweeni, baada ya ripiti ya CAG kuonyesha ni ni bil. 54+
Amewaaminisha wapuuzi wengi eti consultants na contractors hawafai ni wezi wakati kila mwaka anapokea hela zao za registration fees and practice license fees
Uchumi umedumaa kwa kuwa hakuna flow nzuri ya pesa mtaani, force account haiwezi peleka hela mtaani, pili force account haiwezi kuza ufanisi na utaalamu kwenye ujenzi
Mbona stiglerd nasgr hakutumia force account, yale makampuni ni makubwa kea kuwa nchi zao zimeyalinda na kuyapa fursa za kujua, hapa kwetu sera zao ni kuua kampuni zinazoinukia
Bongo za watu weusi kama magufuli zina walakini
Hili jamaa lilikuwa lijinga Sana
Zamu yako kupalilia kaburi?Endeleeni.
Mmeona huko hamueleweki Sasa mmehamia kwenye ujenzi.
Huku mtapigwa hadi mchakae.
Tuanchojua sisi Hayati alikuwa mtalaamu wa ujenzi nchi hii hatokaa akatokea.
Kwa hili hata mkijipa airtime zote.. hamtafanikiwa...hahaha.. kila Kona nchi hii kajenga Magufuli.
KILA KITU ALIHARIBU YULE MTUTulio sekta ya ujenzi bado hatujatengemaa kutokana na vurugu tulizopitia miaka hii mitano.
Kabla ya kupata urais Magufuli na sekta ya ujenzi tulikuwa chanda na pete.
Mikutano yote ya wajenzi alihudhuria tena kwa kujipigia chapuo kuwa kwa Rais iwe Mkapa au Kikwete.
Sasa alipopata Urais tukifikiri sasa tutakula bata!
WACHA!
Kwanza kazi zote za serikali akaamuru wapewe TBA, JKT-SUMA Magereza.
Consultancy zote zikaamriwa zifanyike Chuo cha ARDHI.
Hapo makampuni mengi tu yakafa, iwe ya ujenzi au ya consultancy.
Hatujakaa sawa Mwamba akaamuru kazi zote zifanywe kwa mtindo wa Force Account.
Kuna watendaji serikalini wakaenda mbali na kuwapiga marufuku makandarasi katika kazi zozote za Halmashauri au serikali!
Makampuni mengi yakafa mkupuo wa pili.
Sekta aikadhurika sana.
Sekta hii duniani kote ndio ina sambaza fedha kwa uchumi na umma, iwe vibarua, mama ntilie, mabenki na hata ulipaji wa kodi.
Mpaka sasa sekta haijatengemaa vizuri hata baada ya kuona madudu ya TBA, SUMA-JKT, MAGEREZA na vyombo vingine vya serikali ambavyo kuna sehemu vimefanya kazi chini kabisa ya viwango na havisambazi fedha kwenye uchumi.
Tukubali tu Magufuli aliivuruga sekta ya ujenzi akiwa Rais.