brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
duuuuuuuuh aisee wew unafatilia boxing kwel???Hivi unawezaje kumfananisha the baddest man on the planet na hicho kidudu floyd?
Hiyo miaka ya 90 hapakuwa na mtu anayeitwa floyd maywether na wala floyd asingeweza boxing ya miaka hiyo kwani akina prince naseem peke yake wangetosha kabisa kumfuta kwenye ring.
Wewe umezaliwa lini mkuu,hebu tutajie pambano moja tu bora la floyd alilocheza hiyo miaka ya 90.
Floyd kaanza ngumi tokea miaka ya 90 enzi hizo bado kijana mdogo , kaanza ngumi akiwa na miaka 19 kama sikosei , sasa hivi anayo 35+ ,Hivi unawezaje kumfananisha the baddest man on the planet na hicho kidudu floyd?
Hiyo miaka ya 90 hapakuwa na mtu anayeitwa floyd maywether na wala floyd asingeweza boxing ya miaka hiyo kwani akina prince naseem peke yake wangetosha kabisa kumfuta kwenye ring.
Wewe umezaliwa lini mkuu,hebu tutajie pambano moja tu bora la floyd alilocheza hiyo miaka ya 90.
Mechi za hawa jamaa nimezitizama sana tu. Mechi ya kwanza kweli Tyson alizidiwa ufundi. Mechi ya pili Evander aliamua kutumia 'MBINU MBADALA'. Aliamua kutumia kichwa zaidi ya mikono. kila Tyson akisogea jamaa anapiga 'HEAD'. Angalia vizuri hilo pambano utaona, hata watangazaji (commentantors) waliliona hili na wakasema laivu-mubashara. Baada ya pambano Tyson pia akasema kuwa hakuwa na namna sababu mpinzani wake alikuwa anpiga head. Hata lile jeraha alilipata Tyson lilitokana na kupigwa kichwa, siyo ngumi."Kwa waliobahatika kuangalia mechi za hawa wababe basi lazima wakubaliane na mimi.
Tyson kapigwa mno mchezo wa kwanza hadi akalegema kabisa na refarii kuhamua kumaliza mchezo.
Mechi ya pili jamaa aliona hali sio nzuri raundi ya 3 tuu akamng'ata sikio evanda na mchezo ukaishia hapo."
Namuunga mkono Rais wangu kuhusu Matumizi ya Kiswahili. Arsenal amewahi kuifunga Barcelona, lakini haijawahi kuitoa Barcelona.
Alaf kingine nikwambie huyo floyd hakuanza kucheza ngumi za kulipwa alianza kucheza ngumi za ridhaa ,sawa bwana mdogo siku nyingine usipende kubisha bisha vitu usivyovijua utaonekana falaHivi unawezaje kumfananisha the baddest man on the planet na hicho kidudu floyd?
Hiyo miaka ya 90 hapakuwa na mtu anayeitwa floyd maywether na wala floyd asingeweza boxing ya miaka hiyo kwani akina prince naseem peke yake wangetosha kabisa kumfuta kwenye ring.
Wewe umezaliwa lini mkuu,hebu tutajie pambano moja tu bora la floyd alilocheza hiyo miaka ya 90.
Kweli kabisa ki Tyson akina lolote hivi hawa wangeangalia mabondia kama Timothy Bladley, Maidana, au Amir Khan watasemajeWanaosema Mike Tyson ndiyo bondia bora ni mashabiki juu juu tu wa boxing
I can write more than ten pages kukanusha hilo..
Ktk list ya mabondia kumi bora kuwahi kutokea duniani tena kwenye Heavyweight category Tyson wala hayumo...
Vile vipigo alivyopokea toka kwa Evander na Lenox Lewis vilikuwa vya aibu sana kwa bondia yeyote duniani kuvipata...
Na kile kitendo cha kubite mara mbili kwa Evander ndiyo kikamtoa kabisa kwani ule ni uhuni uliopitiliza..
Mechi za hawa jamaa nimezitizama sana tu. Mechi ya kwanza kweli Tyson alizidiwa ufundi. Mechi ya pili Evander aliamua kutumia 'MBINU MBADALA'. Aliamua kutumia kichwa zaidi ya mikono. kila Tyson akisogea jamaa anapiga 'HEAD'. Angalia vizuri hilo pambano utaona, hata watangazaji (commentantors) waliliona hili na wakasema laivu-mubashara. Baada ya pambano Tyson pia akasema kuwa hakuwa na namna sababu mpinzani wake alikuwa anpiga head. Hata lile jeraha alilipata Tyson lilitokana na kupigwa kichwa, siyo ngumi."Kwa waliobahatika kuangalia mechi za hawa wababe basi lazima wakubaliane na mimi.
Tyson kapigwa mno mchezo wa kwanza hadi akalegema kabisa na refarii kuhamua kumaliza mchezo.
Mechi ya pili jamaa aliona hali sio nzuri raundi ya 3 tuu akamng'ata sikio evanda na mchezo ukaishia hapo."
Namuunga mkono Rais wangu kuhusu Matumizi ya Kiswahili. Arsenal amewahi kuifunga Barcelona, lakini haijawahi kuitoa Barcelona.
Wanaosema Mike Tyson ndiyo bondia bora ni mashabiki juu juu tu wa boxing
I can write more than ten pages kukanusha hilo..
Ktk list ya mabondia kumi bora kuwahi kutokea duniani tena kwenye Heavyweight category Tyson wala hayumo...
Vile vipigo alivyopokea toka kwa Evander na Lenox Lewis vilikuwa vya aibu sana kwa bondia yeyote duniani kuvipata...
Na kile kitendo cha kubite mara mbili kwa Evander ndiyo kikamtoa kabisa kwani ule ni uhuni uliopitiliza..
Ushabiki huo...na ya lewis je?Mechi za hawa jamaa nimezitizama sana tu. Mechi ya kwanza kweli Tyson alizidiwa ufundi. Mechi ya pili Evander aliamua kutumia 'MBINU MBADALA'. Aliamua kutumia kichwa zaidi ya mikono. kila Tyson akisogea jamaa anapiga 'HEAD'. Angalia vizuri hilo pambano utaona, hata watangazaji (commentantors) waliliona hili na wakasema laivu-mubashara. Baada ya pambano Tyson pia akasema kuwa hakuwa na namna sababu mpinzani wake alikuwa anpiga head. Hata lile jeraha alilipata Tyson lilitokana na kupigwa kichwa, siyo ngumi.
Kacheki vizuri
Ushabiki huo...na ya lewis je?
Hiyo ishakuwa zilipendwaUshabiki huo...na ya lewis je?
Unamaamisha Mayweather n mfuasi wa Mourhino alnapokutan na Barcelona?Tyson alikuwa bonge ya bondia, kwanza toka aondoke, katuachua kina Mayweather mtu ana paki basi kwenye ngumi!!.
Tysoni aliondoka na ngumi zake bhana
Ana shabaha kwani n Sniper?floyd yupo vizuri sana , Tyson hagusi kabisa hapa hata kama yeye ni heavy weight,
Floyd yupo vizuri kwanza ana shabaha alaf anajua sana kukwepa, ila ukitaka kumfaidi zaidi floyd angalia mapambano yake ya miaka ya 90
Floyd ana ngumi fulani hivi za kushtukiza, alaf ana lenga pale pale mpaka rahaAna shabaha kwani n Sniper?
[emoji38][emoji38]
HahahaUnamaamisha Mayweather n mfuasi wa Mourhino alnapokutan na Barcelona?
Ila ukiangalia mechi za floyd unaweza sinzia hata haziwi nzuri mkuuFloyd ana ngumi fulani hivi za kushtukiza, alaf ana lenga pale pale mpaka raha
Mkuu hebu mtake radhi Tysonfloyd yupo vizuri sana , Tyson hagusi kabisa hapa hata kama yeye ni heavy weight,