Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Kampita kwa lipi!!?evanda kampita
tyson miaka kadhaa wewe acha kuota mchana
Toa maelezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampita kwa lipi!!?evanda kampita
tyson miaka kadhaa wewe acha kuota mchana
wewe si unasemea umri? ulisema evander alimkuta tyson keshachoka ndio maana alimbandua kinoma wakati sio kweli evander ndo mkubwa.Kampita kwa lipi!!?
Toa maelezo
Duuh, Dunia ina mambo! Floyd kumbe mkali toka miaka ya 90? Ndo nasikia leo,wacha nianze kufuatilia Masumbwi sasa,manake enzi za Lennox,Botha,Mike,Evander,Riddick,Ruiz,Shannon,De La Hoya,Shane,ndo nilikuwa naangaliaFloyd wengi mmemjulia kwa pambano moja ila kwa sisi ambao tumemjua tokea miaka ya 90 tunaujua mziki wake,
Hamna Boxer atakayeweza kumsimamisha,Maidana kidogo alijaribu jaribu,
Na mtu kama Pacquiao akipanda na huyu dogo maidana anakaaa bila wasiwasi
We kweli hujielewi , maidana kapigana lini na floyd kama sio mwaka 2014. Na pacquiao kapigana lini na floyd kama sio mwaka 2015MLIOZALIWA MIAKA 2000 MNAMWAGA PUMBA TUPU HUYO MY WEATHER ALICHEMKA KWA MAIDANA NA PACCIAO
Duuuh aisee humu kuna maajabu sanaEvander acha nae huyo jamaa n habari nyingine. Ila boxer Wa karne ni Lewis
Fuatilia Miasha ya Tyson nje ya Ngumi utagundua kipindi Tyson ana pigana na Evander alikuwaje tayari. Kwa hiyo kuchoka ki mwili na kisaikolojia kulikuwepowewe si unasemea umri? ulisema evander alimkuta tyson keshachoka ndio maana alimbandua kinoma wakati sio kweli evander ndo mkubwa.
Akili ndogo wewe kweli!evanda kampita
tyson miaka kadhaa wewe acha kuota mchana
Nadhani yeye alidhani kuchoka ni umriAkili ndogo wewe kweli!
Wapi nimesema umri hapo?? Nimesema Tyson kachoka hakuwa kwenye ubora wake!!
Mbona unakurupuka??? Tofautisha umri Na kuwa kwenye ubora wa mchezo!!!!
akili zipi? kajifunza juzi tu kusoma na kuandika,na bado hajui vizuriMy weather ni noma sana kuanzia akili mpaka ulingoni
Kaka umenikumbusha mbali,kuna siku mwaka 96 nimekesha nasubiri pambano,those days Itv walikuwa wanaonyesha. Nipo macho mapambano yote ya utangulizi,ile mc anawaita ulingoni mabondia nikasinzia kushtuka nasikia 'and the wineeeeeeeer is Tyson' yaani dk 2 game kwisha,nilimchukia Tyson kunikeshesha bila kumuonaMike iron tyson Msimfananishe na watu wa hovyo hovyo jamani
Tyson zake zilikua k.o kama anacheza mieleka
akiwa na miaka 19 ashakua bingwa wa dunia wa uzito wa juu ukichelewa round ya kwanza unaweza ukakuta watu wanaondoka huku wakicheka
kengele ikigongwa yeye ndio wa kwanza katikati
tyson kiboko
Unajua kufatilia boxing lakini huuelewi huu mchezo! Mchezo huu huzingatia uzito/kilo...wapiganaji hupambana kwa kuzingatia uzito wao! Mayweather ni middle weight...yawezekana ni bora kuzidi tyson kama usemavyo lakini kama ingekuwa wanashindanishwa ni sawa na kumpeleka floyd machinjioni yaani akauliwe! Kwasababu anaweza kukwepa 20 na kushambulia 50 mwenzake akavumilia lakini yeye zikamkuta ngumi 2 tu na akabadilshwa jina hapohapo na kupewa jina jipya 'marehemu'!Floyd kaanza ngumi tokea miaka ya 90 enzi hizo bado kijana mdogo , kaanza ngumi akiwa na miaka 19 kama sikosei , sasa hivi anayo 35+ ,
Sasa wewe unabisha floyd hakuwepo miaka ya 90 inashangaza kiukweli,
Na ndio maana nikasema wengi Floyd mmemjulia kwenye Pambano lake na Pacquiao
Huyo tyson hata kama ni heavy weight atapigwa kirahisi sana
Umesoma lakini nilicho kiandika??????Unajua kufatilia boxing lakini huuelewi huu mchezo! Mchezo huu huzingatia uzito/kilo...wapiganaji hupambana kwa kuzingatia uzito wao! Mayweather ni middle weight...yawezekana ni bora kuzidi tyson kama usemavyo lakini kama ingekuwa wanashindanishwa ni sawa na kumpeleka floyd machinjioni yaani akauliwe! Kwasababu anaweza kukwepa 20 na kushambulia 50 mwenzake akavumilia lakini yeye zikamkuta ngumi 2 tu na akabadilshwa jina hapohapo na kupewa jina jipya 'marehemu'!
Jina lako lina sadifu, hivyo basi lala mberemi nadhani huu uzi ni mahsusi kwa watoto tuwaachie wabishane huwezi fananisha tyson na vitu vya kijingajinga.
Duh! Amir khan tena...acha kumfananisha tyson na vitu vya kijinga...unafananisha tambi na minyoo??? Mabondia wa middle weight hawezi fananishwa na heavy weight...halafu huyo amir khan hana uvumilivu rahisi sana kupigwa knock out!!! Middle weight mkali baada ya floyd ni yule mmexico anaitwa saul/canelo alvarezKweli kabisa ki Tyson akina lolote hivi hawa wangeangalia mabondia kama Timothy Bladley, Maidana, au Amir Khan watasemaje
Alaf sio kila unaye muona akichangia mada ukamuona yupo sawa na wewe, next time uwe na adabu , matako ya mama yakomi nadhani huu uzi ni mahsusi kwa watoto tuwaachie wabishane huwezi fananisha tyson na vitu vya kijingajinga.
Sawa ila huyo canello alvalez alipigwa kama mtoto walivyokutana na floydDuh! Amir khan tena...acha kumfananisha tyson na vitu vya kijinga...unafananisha tambi na minyoo??? Mabondia wa middle weight hawezi fananishwa na heavy weight...halafu huyo amir khan hana uvumilivu rahisi sana kupigwa knock out!!! Middle weight mkali baada ya floyd ni yule mmexico anaitwa saul/canelo alvarez
Kijamaa kinapenda ubishani usio na tijaHivi unawezaje kumfananisha the baddest man on the planet na hicho kidudu floyd?
Hiyo miaka ya 90 hapakuwa na mtu anayeitwa floyd maywether na wala floyd asingeweza boxing ya miaka hiyo kwani akina prince naseem peke yake wangetosha kabisa kumfuta kwenye ring.
Wewe umezaliwa lini mkuu,hebu tutajie pambano moja tu bora la floyd alilocheza hiyo miaka ya 90.