Tuseme ukweli tu, Mike Tyson hatembei kwa Evander!

Tuseme ukweli tu, Mike Tyson hatembei kwa Evander!

Floyd wengi mmemjulia kwa pambano moja ila kwa sisi ambao tumemjua tokea miaka ya 90 tunaujua mziki wake,

Hamna Boxer atakayeweza kumsimamisha,Maidana kidogo alijaribu jaribu,

Na mtu kama Pacquiao akipanda na huyu dogo maidana anakaaa bila wasiwasi
Duuh, Dunia ina mambo! Floyd kumbe mkali toka miaka ya 90? Ndo nasikia leo,wacha nianze kufuatilia Masumbwi sasa,manake enzi za Lennox,Botha,Mike,Evander,Riddick,Ruiz,Shannon,De La Hoya,Shane,ndo nilikuwa naangalia
 
MLIOZALIWA MIAKA 2000 MNAMWAGA PUMBA TUPU HUYO MY WEATHER ALICHEMKA KWA MAIDANA NA PACCIAO
We kweli hujielewi , maidana kapigana lini na floyd kama sio mwaka 2014. Na pacquiao kapigana lini na floyd kama sio mwaka 2015

Next time usipende kujitoa ufahamu watu tutakuona kama hamnazo
 
wewe si unasemea umri? ulisema evander alimkuta tyson keshachoka ndio maana alimbandua kinoma wakati sio kweli evander ndo mkubwa.
Fuatilia Miasha ya Tyson nje ya Ngumi utagundua kipindi Tyson ana pigana na Evander alikuwaje tayari. Kwa hiyo kuchoka ki mwili na kisaikolojia kulikuwepo
Na hata baada ya evander Tyson hakuwa yule tunaye mfahamu

*japo nakubali alipigwa vizuri tuu
 
Mike iron tyson Msimfananishe na watu wa hovyo hovyo jamani

Tyson zake zilikua k.o kama anacheza mieleka

akiwa na miaka 19 ashakua bingwa wa dunia wa uzito wa juu ukichelewa round ya kwanza unaweza ukakuta watu wanaondoka huku wakicheka

kengele ikigongwa yeye ndio wa kwanza katikati

tyson kiboko
Kaka umenikumbusha mbali,kuna siku mwaka 96 nimekesha nasubiri pambano,those days Itv walikuwa wanaonyesha. Nipo macho mapambano yote ya utangulizi,ile mc anawaita ulingoni mabondia nikasinzia kushtuka nasikia 'and the wineeeeeeeer is Tyson' yaani dk 2 game kwisha,nilimchukia Tyson kunikeshesha bila kumuona
 
Msaada tu kwa wale ambao hawakuweza kujua umahiri wa Tyson,waangalie mapambano yake kupitia you tube halafu waje kwenye uzi kutueleza alikuwa bondia wa aina gani kwa wakati wake na pia ujaribu kufanya comparison na hawa wa miaka hii.
 
Floyd kaanza ngumi tokea miaka ya 90 enzi hizo bado kijana mdogo , kaanza ngumi akiwa na miaka 19 kama sikosei , sasa hivi anayo 35+ ,

Sasa wewe unabisha floyd hakuwepo miaka ya 90 inashangaza kiukweli,
Na ndio maana nikasema wengi Floyd mmemjulia kwenye Pambano lake na Pacquiao
Huyo tyson hata kama ni heavy weight atapigwa kirahisi sana
Unajua kufatilia boxing lakini huuelewi huu mchezo! Mchezo huu huzingatia uzito/kilo...wapiganaji hupambana kwa kuzingatia uzito wao! Mayweather ni middle weight...yawezekana ni bora kuzidi tyson kama usemavyo lakini kama ingekuwa wanashindanishwa ni sawa na kumpeleka floyd machinjioni yaani akauliwe! Kwasababu anaweza kukwepa 20 na kushambulia 50 mwenzake akavumilia lakini yeye zikamkuta ngumi 2 tu na akabadilshwa jina hapohapo na kupewa jina jipya 'marehemu'!
 
Umesoma lakini nilicho kiandika??????

Kwani sijazungumzia kuwa wanacheza uzito tofauti??

Mimi nimeweka assumpption kwamba ingetokea wakawekwa pamoja , tyson angekaa tu kama vile big show alivyo kallishwa na floyd
 
Kweli kabisa ki Tyson akina lolote hivi hawa wangeangalia mabondia kama Timothy Bladley, Maidana, au Amir Khan watasemaje
Duh! Amir khan tena...acha kumfananisha tyson na vitu vya kijinga...unafananisha tambi na minyoo??? Mabondia wa middle weight hawezi fananishwa na heavy weight...halafu huyo amir khan hana uvumilivu rahisi sana kupigwa knock out!!! Middle weight mkali baada ya floyd ni yule mmexico anaitwa saul/canelo alvarez
 
mi nadhani huu uzi ni mahsusi kwa watoto tuwaachie wabishane huwezi fananisha tyson na vitu vya kijingajinga.
Alaf sio kila unaye muona akichangia mada ukamuona yupo sawa na wewe, next time uwe na adabu , matako ya mama yako
 
Duh! Amir khan tena...acha kumfananisha tyson na vitu vya kijinga...unafananisha tambi na minyoo??? Mabondia wa middle weight hawezi fananishwa na heavy weight...halafu huyo amir khan hana uvumilivu rahisi sana kupigwa knock out!!! Middle weight mkali baada ya floyd ni yule mmexico anaitwa saul/canelo alvarez
Sawa ila huyo canello alvalez alipigwa kama mtoto walivyokutana na floyd
 
Hivi unawezaje kumfananisha the baddest man on the planet na hicho kidudu floyd?
Hiyo miaka ya 90 hapakuwa na mtu anayeitwa floyd maywether na wala floyd asingeweza boxing ya miaka hiyo kwani akina prince naseem peke yake wangetosha kabisa kumfuta kwenye ring.
Wewe umezaliwa lini mkuu,hebu tutajie pambano moja tu bora la floyd alilocheza hiyo miaka ya 90.
Kijamaa kinapenda ubishani usio na tija
 
Back
Top Bottom