ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Google raha sanaView attachment 396721. Huyu ndio floyd wa miaka ya tisini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Google raha sanaView attachment 396721. Huyu ndio floyd wa miaka ya tisini
Kaangalie pamban la floyd vs edgar ayalla au hata lile la floyd vs boby giebertHivi unawezaje kumfananisha the baddest man on the planet na hicho kidudu floyd?
Hiyo miaka ya 90 hapakuwa na mtu anayeitwa floyd maywether na wala floyd asingeweza boxing ya miaka hiyo kwani akina prince naseem peke yake wangetosha kabisa kumfuta kwenye ring.
Wewe umezaliwa lini mkuu,hebu tutajie pambano moja tu bora la floyd alilocheza hiyo miaka ya 90.
Hakupigwa kama mtoto! Mimi niliangalia pambano...ila alipigwa na ndiyo maana nikamuweka baada ya floyd! Mechi ya Big show na mayweather ilikuwa planned ili kupata pesa tu na hata mazoezi wakifanya pamoja kujiandaa na hiyo show...huyo mayweather hawezi kumpiga big show! Ungeiangalia vizuri mechi yenyewe...ni kama mechi za kina wema sepetu na wolper au snake boy na yule mwingine....Sawa ila huyo canello alvalez alipigwa kama mtoto walivyokutana na floyd
Kwa big show sawa ,floyd alipigwa siku ille ila dakika ya mwisho big show alijisahau ndio pale floyd alipotumia chance na akashindaHakupigwa kama mtoto! Mimi niliangalia pambano...ila alipigwa na ndiyo maana nikamuweka baada ya floyd! Mechi ya Big show na mayweather ilikuwa planned ili kupata pesa tu na hata mazoezi wakifanya pamoja kujiandaa na hiyo show...huyo mayweather hawezi kumpiga big show! Ungeiangalia vizuri mechi yenyewe...ni kama mechi za kina wema sepetu na wolper au snake boy na yule mwingine....
Aya nimekusikia, ila hapa tupo jukwaani kila mmoja anachangia kile kidogo alichokuwa nacho, tungekuwa kila kitu tunakubali hivi hivi kamwe pasingenoga,Kijamaa kinapenda ubishani usio na tija
Tyson asingekaa mkuu...hata kidogo, na ndiyo maana hawawezi wekwa pamoja! Huyo mayweather hawezi wekwa pamoja na klitschko kwasababu ni kufanya hivyo ni kumuandalia kifo japo mayweather ni bondia mzuri kuliko klitschko kwa tekniki za kimchezo! Defense nzuri na shabaha ya ngumi...Umesoma lakini nilicho kiandika??????
Kwani sijazungumzia kuwa wanacheza uzito tofauti??
Mimi nimeweka assumpption kwamba ingetokea wakawekwa pamoja , tyson angekaa tu kama vile big show alivyo kallishwa na floyd
Acha tu kaka kuna jamaa kanakazana humu kumsifia floyd eti mbele ya tysonMLIOZALIWA MIAKA 2000 MNAMWAGA PUMBA TUPU HUYO MY WEATHER ALICHEMKA KWA MAIDANA NA PACCIAO
Umeona eeh kakami nadhani huu uzi ni mahsusi kwa watoto tuwaachie wabishane huwezi fananisha tyson na vitu vya kijingajinga.
Aisee, una muunga mkono huyo asiye jiellewa, llini floyd alipigwa na maidana??Acha tu kaka kuna jamaa kanakazana humu kumsifia floyd eti mbele ya tyson
Naona unalinganisha fuso na bajajifloyd yupo vizuri sana , Tyson hagusi kabisa hapa hata kama yeye ni heavy weight,
Floyd yupo vizuri kwanza ana shabaha alaf anajua sana kukwepa, ila ukitaka kumfaidi zaidi floyd angalia mapambano yake ya miaka ya 90
Aya nimekupataNaona unalinganisha fuso na bajaji
Floyd kaanza ngumi tokea miaka ya 90 enzi hizo bado kijana mdogo , kaanza ngumi akiwa na miaka 19 kama sikosei , sasa hivi anayo 35+ ,
Sasa wewe unabisha floyd hakuwepo miaka ya 90 inashangaza kiukweli,
Na ndio maana nikasema wengi Floyd mmemjulia kwenye Pambano lake na Pacquiao
Huyo tyson hata kama ni heavy weight atapigwa kirahisi sana
Aya umeelewekaSasa hiyo miaka 19,Iron anachukua WBA,WBC na WBO heavyweight titles,we wa wapi?😀
world title ya kwanza ya floyd ni WBC 1998 tena featherweight.mimi sikatai floyd kuwa boxer mzuri,unachoshangaza kwenye hili janvi ni kumpambanisha pitbull na chihuahua😀
Matusi peleka instagram mkuu, humu ni kwa wa staarabu.kubali tu kwamba umechemka kwani unachojaribu kukitetea kinapingana na ukweli.jf si mahala pa kudanganya watu,humu ni facts tu.tatizo unaongea kishabiki matokeo yake uongo unatamalaki kwenye hoja zako.Alaf kingine nikwambie huyo floyd hakuanza kucheza ngumi za kulipwa alianza kucheza ngumi za ridhaa ,sawa bwana mdogo siku nyingine usipende kubisha bisha vitu usivyovijua utaonekana fala
huyo kula kulala kwa baba na mama achana nayeAcha tu kaka kuna jamaa kanakazana humu kumsifia floyd eti mbele ya tyson
mkuu unabishana na mtu ambaye bado analala kwa baba na mama yakeMat
Matusi peleka instagram mkuu, humu ni kwa wa staarabu.kubali tu kwamba umechemka kwani unachojaribu kukitetea kinapingana na ukweli.jf si mahala pa kudanganya watu,humu ni facts tu.tatizo unaongea kishabiki matokeo yake uongo unatamalaki kwenye hoja zako.
Hebu nitajie mataji aliyochukua floyd hiyo miaka ya 90 kama unavyodai.yataje kwanza ili tuanzie hapo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukweli mchunguTyson alikuwa bonge ya bondia, kwanza toka aondoke, katuachua kina Mayweather mtu ana paki basi kwenye ngumi!!.
Tysoni aliondoka na ngumi zake bhana
Kijamaa kibishi kweli aisee,sijui mbegu gani ile😀mkuu unabishana na mtu ambaye bado analala kwa baba na mama yake
I believe upo tungi...Wanaosema Mike Tyson ndiyo bondia bora ni mashabiki juu juu tu wa boxing
I can write more than ten pages kukanusha hilo..
Ktk list ya mabondia kumi bora kuwahi kutokea duniani tena kwenye Heavyweight category Tyson wala hayumo...
Vile vipigo alivyopokea toka kwa Evander na Lenox Lewis vilikuwa vya aibu sana kwa bondia yeyote duniani kuvipata...
Na kile kitendo cha kubite mara mbili kwa Evander ndiyo kikamtoa kabisa kwani ule ni uhuni uliopitiliza..