Mechi za hawa jamaa nimezitizama sana tu. Mechi ya kwanza kweli Tyson alizidiwa ufundi. Mechi ya pili Evander aliamua kutumia 'MBINU MBADALA'. Aliamua kutumia kichwa zaidi ya mikono. kila Tyson akisogea jamaa anapiga 'HEAD'. Angalia vizuri hilo pambano utaona, hata watangazaji (commentantors) waliliona hili na wakasema laivu-mubashara. Baada ya pambano Tyson pia akasema kuwa hakuwa na namna sababu mpinzani wake alikuwa anpiga head. Hata lile jeraha alilipata Tyson lilitokana na kupigwa kichwa, siyo ngumi.
Kacheki vizuri