Tuseme ukweli tu, Mike Tyson hatembei kwa Evander!

Kaangalie pamban la floyd vs edgar ayalla au hata lile la floyd vs boby giebert
 
Sawa ila huyo canello alvalez alipigwa kama mtoto walivyokutana na floyd
Hakupigwa kama mtoto! Mimi niliangalia pambano...ila alipigwa na ndiyo maana nikamuweka baada ya floyd! Mechi ya Big show na mayweather ilikuwa planned ili kupata pesa tu na hata mazoezi wakifanya pamoja kujiandaa na hiyo show...huyo mayweather hawezi kumpiga big show! Ungeiangalia vizuri mechi yenyewe...ni kama mechi za kina wema sepetu na wolper au snake boy na yule mwingine....
 
Kwa big show sawa ,floyd alipigwa siku ille ila dakika ya mwisho big show alijisahau ndio pale floyd alipotumia chance na akashinda
 
Kijamaa kinapenda ubishani usio na tija
Aya nimekusikia, ila hapa tupo jukwaani kila mmoja anachangia kile kidogo alichokuwa nacho, tungekuwa kila kitu tunakubali hivi hivi kamwe pasingenoga,
 
Umesoma lakini nilicho kiandika??????

Kwani sijazungumzia kuwa wanacheza uzito tofauti??


Mimi nimeweka assumpption kwamba ingetokea wakawekwa pamoja , tyson angekaa tu kama vile big show alivyo kallishwa na floyd
Tyson asingekaa mkuu...hata kidogo, na ndiyo maana hawawezi wekwa pamoja! Huyo mayweather hawezi wekwa pamoja na klitschko kwasababu ni kufanya hivyo ni kumuandalia kifo japo mayweather ni bondia mzuri kuliko klitschko kwa tekniki za kimchezo! Defense nzuri na shabaha ya ngumi...
 
Acha tu kaka kuna jamaa kanakazana humu kumsifia floyd eti mbele ya tyson
Aisee, una muunga mkono huyo asiye jiellewa, llini floyd alipigwa na maidana??

Pambano la kwanza maidana alijitahidi tahidi round za mwanzoni mpaka akampasua jicho sikatai, je nini kilifuata baada ya pale?? Maidana si alichezea kichapo,


Akaona No ngoja nirudiane nae, lakini akaambulia tena kipondo,



Na kwa upande wa pacquiao lini alimpiga floyd??
 
Mlinganishe floyd na GGG SIO kumlinganisha na tyson
 
floyd yupo vizuri sana , Tyson hagusi kabisa hapa hata kama yeye ni heavy weight,


Floyd yupo vizuri kwanza ana shabaha alaf anajua sana kukwepa, ila ukitaka kumfaidi zaidi floyd angalia mapambano yake ya miaka ya 90
Naona unalinganisha fuso na bajaji
 

Sasa hiyo miaka 19,Iron anachukua WBA,WBC na WBO heavyweight titles,we wa wapi?πŸ˜€
world title ya kwanza ya floyd ni WBC 1998 tena featherweight.mimi sikatai floyd kuwa boxer mzuri,unachoshangaza kwenye hili janvi ni kumpambanisha pitbull na chihuahuaπŸ˜€
 
Aya umeeleweka
 
Mat
Alaf kingine nikwambie huyo floyd hakuanza kucheza ngumi za kulipwa alianza kucheza ngumi za ridhaa ,sawa bwana mdogo siku nyingine usipende kubisha bisha vitu usivyovijua utaonekana fala
Matusi peleka instagram mkuu, humu ni kwa wa staarabu.kubali tu kwamba umechemka kwani unachojaribu kukitetea kinapingana na ukweli.jf si mahala pa kudanganya watu,humu ni facts tu.tatizo unaongea kishabiki matokeo yake uongo unatamalaki kwenye hoja zako.
Hebu nitajie mataji aliyochukua floyd hiyo miaka ya 90 kama unavyodai.yataje kwanza ili tuanzie hapo.
 
mkuu unabishana na mtu ambaye bado analala kwa baba na mama yake
 
Tyson alikuwa bonge ya bondia, kwanza toka aondoke, katuachua kina Mayweather mtu ana paki basi kwenye ngumi!!.
Tysoni aliondoka na ngumi zake bhana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukweli mchungu
 
I believe upo tungi...
Ukiamka pata supu pitia tena uzi huu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…