Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,931
[emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23]Tehteh😀,uzi umegeuka ghafla na kuwa zecomedy!😀
Heading yenyewe iko ki komedi...comments zkafata mkondo...ah ah ah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23]Tehteh😀,uzi umegeuka ghafla na kuwa zecomedy!😀
aisee nyie ni washabiki wa ngumi kweli?floyd yupo vizuri sana , Tyson hagusi kabisa hapa hata kama yeye ni heavy weight,
Floyd yupo vizuri kwanza ana shabaha alaf anajua sana kukwepa, ila ukitaka kumfaidi zaidi floyd angalia mapambano yake ya miaka ya 90
Wanakera sana watoto hawa..MLIOZALIWA MIAKA 2000 MNAMWAGA PUMBA TUPU HUYO MY WEATHER ALICHEMKA KWA MAIDANA NA PACCIAO
aisee usiwashauri watu wasiojielewa Tyson ndio tunamuita chuma bro hawa watu wanaongalia pambano moja la Tyson wanaanza draw conclusionTyson ni bingwa bwana. Anayefuatilia masumbwi hawezi pinga hii
bro unaakili sana"Kwa waliobahatika kuangalia mechi za hawa wababe basi lazima wakubaliane na mimi.
Tyson kapigwa mno mchezo wa kwanza hadi akalegema kabisa na refarii kuhamua kumaliza mchezo.
Mechi ya pili jamaa aliona hali sio nzuri raundi ya 3 tuu akamng'ata sikio evanda na mchezo ukaishia hapo."
Namuunga mkono Rais wangu kuhusu Matumizi ya Kiswahili. Arsenal amewahi kuifunga Barcelona, lakini haijawahi kuitoa Barcelona.
mkuu unaakili sanaBondia anaeweza jivunia mpiga Tyson ni mmoja tu... Douglas,,, alimtwanga Tyson mwaka 1990 huko China.... Japan if im not mistaken.
And after that fight Tyson ali admit his career ended that night... Ila na huyo Douglass moto aliuona.
wasamehewe hawajui walitendaloWanakera sana watoto hawa..
Kuna kipindi vijana hawahawa bila aibu walimlinganisha Lamar na P Funk...
Yaani eti na sasa Maua Sama alinganishwe na Jay Dee.
Matusi kuntu hayaa.
HAKIKA....wasamehewe hawajui walitendalo
Mayweather alidundwa na Maidana mapambano yote, Mayweather alipata mbeleko, kwa Pacquiao ni kweli alishinda. Halafu kufananisha Heavyweight na hivi vitoto unakosea sana, ngumi 2 tu za kina Tyson huyo dogo anaenda ICU, usifikiri waliograde mapambano kwa uzito wajingaFloyd wengi mmemjulia kwa pambano moja ila kwa sisi ambao tumemjua tokea miaka ya 90 tunaujua mziki wake,
Hamna Boxer atakayeweza kumsimamisha,Maidana kidogo alijaribu jaribu,
Na mtu kama Pacquiao akipanda na huyu dogo maidana anakaaa bila wasiwasi
Kijana usifananishe boxing na mieleka, mieleka karibu kila kinachofanyika ni planned. We unaamini kabisa Mayweather anaweza mpiga Big Show?Umesoma lakini nilicho kiandika??????
Kwani sijazungumzia kuwa wanacheza uzito tofauti??
Mimi nimeweka assumpption kwamba ingetokea wakawekwa pamoja , tyson angekaa tu kama vile big show alivyo kallishwa na floyd
nashukuru kwa kukubaliana na mimi.Fuatilia Miasha ya Tyson nje ya Ngumi utagundua kipindi Tyson ana pigana na Evander alikuwaje tayari. Kwa hiyo kuchoka ki mwili na kisaikolojia kulikuwepo
Na hata baada ya evander Tyson hakuwa yule tunaye mfahamu
*japo nakubali alipigwa vizuri tuu
Yale mapambano nimerudia kuyaangalia sana YouTube, Evander is the real deal, ni bonge la fighter. Hata alipopigana na Lewis alishindwa kimazabe sana. Pambano la Tyson na Lewis ndio nilimuonea huruma zaidi Tyson maana alitandikwa hadi mwenyewe akakubali
Hajui kwamba WWE ni Entertainment zaidi kuliko ukweli, hawa ndio wanaamini Rey Mysterio anaweza mpiga Great Khali au Big Show[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naanza kuamin huu uzi n wa watoto,
Hadi mechi za entertainment za kupangwa za kna big show..
Aya ngoja nkutajie mabondia wengne wakali,kna wayne rooney alimpga wade barret na stephen ammel muigzaj wa arrows alpgana tag team match akashnda...kna rooney fasta tu wangempga may runner k.o
Kweli kabisaPambano la Lewis vs Evander I... Lewis alishinda very cleary akapokwa ushindi na judges...
Lewis vs Evender II .... Lewis akapewa ushindi kwa kuona aibu kwa kumpora ushindi pambano la kwanza.
Mayweather alidundwa na Maidana mapambano yote, Mayweather alipata mbeleko, kwa Pacquiao ni kweli alishinda. Halafu kufananisha Heavyweight na hivi vitoto unakosea sana, ngumi 2 tu za kina Tyson huyo dogo anaenda ICU, usifikiri waliograde mapambano kwa uzito wajinga