Tuseme ukweli, uchaguzi wa CCM uliofanyika una viashiria vya udini

Status
Not open for further replies.
Hapo awali yakitokea majina mengi ya Kikristo Waislam wakihoji kwanini wanaambiwa somesheni watoto wenu shule achaneni na madrasa now wamesoma sasa washaanza kuchukua nafasi point imebadilika kua ni udini.
Huwa wanajibiwa kuwa nendeni shule hamjasoma.
 
Akuna cha kuwafunda wala nini.Kama wamepata uongozi kwa maelekezo ya kusimamia maslai ya dini yao sasa mkristo atawafunda vipi ili wamuelewe??Ila mimi ninachoona ni ukosefu wa elimu tu,ukweli ni kwamba haitatokea Dunia ikawa chini ya mwamvuli mmoja wa dini pamoja na haraka zote hizi zaidi wachache watalipwa huto tu mishahara na wengine wataendelea kuwa masikini.Ndo maana nawakubali wakristo yaana rais hata uwe mkristo ukizengua wanakuchana tu na ndo maana Wengi waliokuwa wanamkosoa ni wakristo wenzie hadi baraza la maaskofu wakatoriki walipinga wazi wazi sera za Magufuli kuhusu Corona.
 
H
Haya mawazo hayatakiwi kuwepo kwa wa Tanzania. Pia, walio na madaraka hawaruhusiwi kufanya mambo yanayoweza kuleta mawazo ya udini katika vichwa vya wa Tanzania.
Hapo ndo tunapofail, Tanzania udini upo tena wa wazi Kabisa.

Husemwi majukwaani ila Kwa matendi inaonekana


Kwa mfano imeandikwa wapi zamu za Raisi mkristu na muislam
 
Hujawahi kukemea Teuzi za Magufuli zilizopendelea wakiristo mno kuzidi waislamu.
 
Waislam wapaze sauti kwa lipi hasa
 
Tatizo ni kwamba wakiristu wamesheheni katika utumishi wa kila kona ya idara ya serikali ya nchi hii kuliko Waislamu. Lakini ufisadi umekithiri nchini, Umasikini umekithiri, na hata serikali zao huwa zinaongoza kwa kutesa na kuummiza watu.
 
Kipindi watu wanatekwa na kuawa ilikua sehemu salama kwa vile alifanya mkristo mwenzenu
Nyie watu ni WA hovyo kabisa
Acha mambo yako,kipindi cha Kikwete Dr Olimboka alipotekwa na kung'olewa kucha na meno bila ganzi wewe muislam ulikuwa wapi au ulisema nini??Acha unafiki kama viashiria vya udini acha watu waseme ili hao viongozi wanaofanya wajue kwamba wanashort thinking,
 
Ulimboka alichochea mgomo wa madaktari kinyume cha maadili ya madaktari, ndugu zetu wengi sana walikufa hospitalini kwa kukosa huduma za msingi. Tena Ulimboka aliguswa tu kutiwa adabu, hakuuliwa!. Ingekuwa enzi za Jiwe angepotezwa kabisa asijupikane alipo!
 
Hujawahi kukemea Teuzi za Magufuli zilizopendelea wakiristo mno kuzidi waislamu.
Basi kama ni hivyo viongozi waseme wazi kuliko kujificha ficha kwanba wanalipiza na hii sio zamu ya wakristo ili wakristo wajue sio zamu yao na wajue kumbe huwa kuna zamu.Ili nao wajipange kulipiza zamu yao ikifika.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…