Tusemezane ya Ukweli: Ni nani humu JF ukiwa unajadiliana naye anakupeleka puta mpaka, unatamani asi ku "Quote" kwa kujawa na hofu

Hahahahah usijifanye mjanja

Njoo kule kati tukushulubishe [emoji1787][emoji1787]

Cc;@spensa_e kukumdogo @lekwangul

Wapi huko. ? Kwani nimetoka wapi mpaka nije huko ?

Kule tatizo lenu hamna hija na mkiulizwa maswali hamjibu.

Tujikite kwenye mada husika.
 
Mabishano ni jambo zuri maana kwenye mabishano watu hupata kufunga zaidi na sie wasomaji hupata faida kw kujifunza zaidi kwa kuangalia hoja za pande zote mbili bila ya hivyo pengine kila mtu angekuwa anakuja kujaza uongo wake humu,faida ya mabishano mfano mkuu Deception na madaktari wa humu Jf,kwenye kubishana kwao sie wengine wasomaji tu tumepata kujifunza mengi na ndio kitu kimoja wapo katika uzuri wa JF.
 
Zurri nje ya Mada.
Ulishawahi kufikiria kuandika hata Kitabu?
Jibu ndio au Hapana, usiniandikie maelezo kama kawaida yako.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Zurri nje ya Mada.
Ulishawahi kufikiria kuandika hata Kitabu?
Jibu ndio au Hapana, usiniandikie maelezo kama kawaida yako.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088]

Ndio na nimeshaandika kadhaa,ila bado havijachapishwa.
 
Mimi hawanipeleki puta ila wana mikomenti ya kuudhi hadi nikiona quote yao sitamani kufungua. Nawahifadhi kwa sasa
 
That's my babe
 
Samahani mkuu ila kwa attitude na majibu yako sikuwahi kudhani ni mwanaume ila leo ndio nimejua

By the way acha kuwa conservative na kuamini unajua kuliko wengine. Weka room ya kujifunza maana arguments zako huwa ni kama defence au kutaka kushinda mijadala badala ya kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…