Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameona kuanzisha Uzi huu ni safety valve yake [emoji12]
Huyu ni popoma na mahaba niue sijawahi ona [emoji3][emoji3][emoji3][emoji44]
Kuna mtu Fulani aliwahi kusema kuwa dini Ni aina flani ya tatizo la akili.
Nikiwatizama 'wafia dini' wengi walivyo, nahisi jamaa alikuwa sahihi.Je huyo mtu unahisi alikuwa sahihi ?
Nikiwatizama 'wafia dini' wengi walivyo, nahisi jamaa alikuwa sahihi.
Uliniuliza Kama nahisi.Nikajua una uhakika kumbe unahisi.
Tuko pamoja.
My babe
Amefanyaje ?
Kwani umeulizaje?
That's my babeHaki na Ukweli,
Shida ni kua hoja zako unapenda kuzipeleka kidini, na hata huu mjadala umeuanzisha mwisho wa siku utaupeleka kwenye dini... Bro, dunia ni pana kuliko ujuavyo na imebeba mengi kuliko ulivyovisoma, unapaswa kujua wewe una mitazamo ya kidini na mwingine hana na mwingine anayo ila sio ya imani yako,
Ishi kuendana na mahali palivyo usilazimishe wote wafate kile unacho wewe, wape nafasi na wengine wakupe kile wanacho, fungua milango ya kupokea vitu vipya kila siku, hapo itakufanya ukomae kiufahamu na itakufanya uishi katika mazingira yoyote.
Samahani mkuu ila kwa attitude na majibu yako sikuwahi kudhani ni mwanaume ila leo ndio nimejuaHili hujaanza kulisema leo,na huwa nalizingitia sana. Kwahiyo hapo nimekuandikia wewe hasa ila na wengine kwa ujumla. Kwahiyo usipo soma wewe basi watasoma wengine.
Ili kutilia mkazo hili,huoni huwa na mquote Kiranga japokuwa ana dai ame ni "Ignore" na mimi nalijua hilo,kwa maana yeye au wewe huwa nawafanya kama "Wasila" tu kufikisha ujumbe kwa wengine.
Hili bila shaka limeisha,tujikite kwenye mada.