Tushangilie kumfunga Mwarabu ila tujue tu kuwa Yanga SC kwa 99% Bingwa tena Ligi Kuu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Tupambane tu huko CAFCC na CRDB FA, ila huku katika Ligi Kuu imeshaisha hiyo sawa?

Sina uwezo wa Kumfunga Yanga SC kwa sasa sana sana nikijitahidi mno Sare / Suluhu nae.

Ni bora / kheri upewe Dawa iliyo Chungu ili Upone kuliko Dawa Tamu ambayo haitakuponyesha.
 
Wewe huyu nakunukuu

"Kwa waliocheza Mpira kama Mimi na tunajua pia Kuuchambua mtakubaliana nami kwa 100% kuwa kwa Timu ile ya Al Masry na kwa ule Uchezaji wao wa Kimkakati hata wakija Dar es Salaam hiyo Wiki ijayo bado wana uhakika wa kupata Goli 1 na hapa namaanisha kuwa kama Simba SC itashinda Goli 3 basi Wao watapata Goli 1 na kama Simba SC itashinda Goli 4 basi na Wao watapata Goli 2 hivyo kwa Lugha nyepesi tu ya bila Kufichaficha na kuwa Mnafiki ni kwamba Safari ya Simba SC huko CAFCC imeisha rasmi jana."
 
Yanga SC Bingwa tena wa NBC Premier League na ambaye hakubali ni Mpumbavu na Mwendawazimu.
 
Tupambane tu huko CAFCC na CRDB FA, ila huku katika Ligi Kuu imeshaisha hiyo sawa?

Sina uwezo wa Kumfunga Yanga SC kwa sasa sana sana nikijitahidi mno Sare / Suluhu nae.

Ni bora / kheri upewe Dawa iliyo Chungu ili Upone kuliko Dawa Tamu ambayo haitakuponyesha.
watu weweeeeee!!!
 
Wewe huyu nakunukuu

"Kwa waliocheza Mpira kama Mimi na tunajua pia Kuuchambua mtakubaliana nami kwa 100% kuwa kwa Timu ile ya Al Masry na kwa ule Uchezaji wao wa Kimkakati hata wakija Dar es Salaam hiyo Wiki ijayo bado wana uhakika wa kupata Goli 1 na hapa namaanisha kuwa kama Simba SC itashinda Goli 3 basi Wao watapata Goli 1 na kama Simba SC itashinda Goli 4 basi na Wao watapata Goli 2 hivyo kwa Lugha nyepesi tu ya bila Kufichaficha na kuwa Mnafiki ni kwamba Safari ya Simba SC huko CAFCC imeisha rasmi jana."

Msamehe Mkuu
Huwa anaropoka kama Chizi.
Yani yeye kila kitu anajua na kila wakati kuanzisha Uzi.

Watu wengi hapa Jukwaani wameisha jua kuwa ni Mtu wa aina gani wamemtambua uwezo wake na Changamoto zake.
 
Wewe huyu nakunukuu

"Kwa waliocheza Mpira kama Mimi na tunajua pia Kuuchambua mtakubaliana nami kwa 100% kuwa kwa Timu ile ya Al Masry na kwa ule Uchezaji wao wa Kimkakati hata wakija Dar es Salaam hiyo Wiki ijayo bado wana uhakika wa kupata Goli 1 na hapa namaanisha kuwa kama Simba SC itashinda Goli 3 basi Wao watapata Goli 1 na kama Simba SC itashinda Goli 4 basi na Wao watapata Goli 2 hivyo kwa Lugha nyepesi tu ya bila Kufichaficha na kuwa Mnafiki ni kwamba Safari ya Simba SC huko CAFCC imeisha rasmi jana."
"Hizi tabia za kimalaya malaya"~ Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
 
Huitaji kuambiwa maneno mengi mpumbavu kama wewe neno ni moja tu Umebadilisha Matumizi ya makalio yako
 
Tupambane tu huko CAFCC na CRDB FA, ila huku katika Ligi Kuu imeshaisha hiyo sawa?

Sina uwezo wa Kumfunga Yanga SC kwa sasa sana sana nikijitahidi mno Sare / Suluhu nae.

Ni bora / kheri upewe Dawa iliyo Chungu ili Upone kuliko Dawa Tamu ambayo haitakuponyesha.
Ni mashindano tofauti kabisa. Huwezi kuwazuia watu wasishangilie FA kwa kuwa hawakupata katika Ligi. By the way credibility ya mtu hushuka pale anachokisema au kukiamini hadharani kinapokuwa mara kwa mara kinaenda tofauti
 
Huyu jamaa mbona watu siku hizi hamumkubali kabisa hapa Jukwaani Mmegundua nini????

Asilimia 99 ya Comment zinamkataa zinambagaza na Kumkebehi.
 
"Huitaji kuambiwa maneno mengi mpumbavu kama wewe neno ni moja tu Umebadilisha Matumizi ya makalio yako"

Inch 9
 
Back
Top Bottom