Tushangilie kumfunga Mwarabu ila tujue tu kuwa Yanga SC kwa 99% Bingwa tena Ligi Kuu

Tushangilie kumfunga Mwarabu ila tujue tu kuwa Yanga SC kwa 99% Bingwa tena Ligi Kuu

Huyu jamaa mbona watu siku hizi hamumkubali kabisa hapa Jukwaani Mmegundua nini????

Asilimia 99 ya Comment zinamkataa zinambagaza na Kumkebehi.
ILA BADO KWA UPUMBAVU WAKO MKUBWA NA TABIA YAKO YA KUWA PANCHA / MSUKUMA UKUTA BADO TU UNANIFUATILIA JF.
 
FB_IMG_16992583151771630.jpg
 
Ubingwa wa NBC sio mkubwa kuliko nusu fainali ya CAF shirikisho. Huwezi kuwa omba omba ikiwa unafika mar a Kwa mara nusu fainali za CAF shirikisho, ila unaweza kuwa bingwa wa NBC hata mara 25 na bado ukawa omba omba.
Yeah unakuwa omba omba na kwenye maisha Yako unakuwa mtu wa hesabu hesabu( wazee wa calculator )na kutegemea kudra za mwenyezi Mungu
 
Back
Top Bottom