Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Tunaposhangilia ushindi wa Mwambukusi nakuona anafaa kuwa RAIS wa TLS tusitegemee jipya sana baada ya kuapishwa kuwa Rais wa TLs. Maambukusi ni zao la mfumo wa nchi kama alivyokuwa Hosea.
Tunachopaswa kushangilia ni kwamba mahakama imerejesha hoja kwa mawakili wa Tanzania kujitafakari kama kweli wanajitambua?
Hii imekuwa fedhea kwa uongozi wa TLS kwamba wanatumika na mfumo kumwajibisha mwanamfumo. Lengo la mfumo kuisambaratisha TLS limekamilika na sasa wamebaki kuangaika wapate mkate wa siku.
Someone from within will never change system, but system may change someone from within