Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Huwezi kuandika jina la mtu vzr?? Haraka ya nini..system, system..ujinga mtupu, akili yote inawaza tumbo tu! dawa yenu ipo inakuja..Tunaposhangilia ushindi wa Mwambukusi nakuona anafaa kuwa RAIS wa TLS tusitegemee jipya sana baada ya kuapishwa kuwa Rais wa TLs. Maambukusi ni zao la mfumo wa nchi kama alivyokuwa Hosea.
Tunachopaswa kushangilia ni kwamba mahakama imerejesha hoja kwa mawakili wa Tanzania kujitafakari kama kweli wanajitambua?
Hii imekuwa fedhea kwa uongozi wa TLS kwamba wanatumika na mfumo kumwajibisha mwanamfumo. Lengo la mfumo kuisambaratisha TLS limekamilika na sasa wamebaki kuangaika wapate mkate wa siku.
Someone from within will never change system, but system may change someone from within
Mkishashindwa ndo mnakuja na haya ya system..!! Au Madilu Multy System??Tunaposhangilia ushindi wa Mwambukusi nakuona anafaa kuwa RAIS wa TLS tusitegemee jipya sana baada ya kuapishwa kuwa Rais wa TLs. Maambukusi ni zao la mfumo wa nchi kama alivyokuwa Hosea.
Tunachopaswa kushangilia ni kwamba mahakama imerejesha hoja kwa mawakili wa Tanzania kujitafakari kama kweli wanajitambua?
Hii imekuwa fedhea kwa uongozi wa TLS kwamba wanatumika na mfumo kumwajibisha mwanamfumo. Lengo la mfumo kuisambaratisha TLS limekamilika na sasa wamebaki kuangaika wapate mkate wa siku.
Someone from within will never change system, but system may change someone from within
😆😆😆😂Mara hii yashakuwa hayo?
Mbona umeguna Swahiba misasa?
Naona wanataka kumtengenezea mizengwe baada kiunzi cha kwanza kukivuka salamaMbona umeguna Swahiba misasa?
Hawataweza kama ni BAHATI yake atashinda tu.Naona wanataka kumtengenezea mizengwe baada kiunzi cha kwanza kukivuka salama
Kabisa mkuuHawataweza kama ni BAHATI yake atashinda tu.
Nami nimeshangaa mkuu, bora Mwambukusi alie kwenye kivuli kama kweli kuliko yule chawa ambae yuko waziMara hii yashakuwa hayo?
Labda uwe mchaga wa jina..nani hawajui nyinyi mlivyo.Ana bahati sana wenzie wameamua kumpa umaarufu
Haha wasioijua hii nchi ushangiliaga tu
GM
Kabila tena hahaLabda uwe mchaga wa jina..nani hawajui nyinyi mlivyo.
Taja mhombea wako kwani shida nini? Mabadiliko pia Huwa nayaletwa na watu wa mfumo Cha Msingi tu awe tayari kuyaleta , Mwabukusi anapigwa zengwe na Tulia . Full stopTunaposhangilia ushindi wa Mwambukusi nakuona anafaa kuwa RAIS wa TLS tusitegemee jipya sana baada ya kuapishwa kuwa Rais wa TLs. Maambukusi ni zao la mfumo wa nchi kama alivyokuwa Hosea.
Tunachopaswa kushangilia ni kwamba mahakama imerejesha hoja kwa mawakili wa Tanzania kujitafakari kama kweli wanajitambua?
Hii imekuwa fedhea kwa uongozi wa TLS kwamba wanatumika na mfumo kumwajibisha mwanamfumo. Lengo la mfumo kuisambaratisha TLS limekamilika na sasa wamebaki kuangaika wapate mkate wa siku.
Someone from within will never change system, but system may change someone from within
I will hit you badly-MwambukusiTunaposhangilia ushindi wa Mwambukusi nakuona anafaa kuwa RAIS wa TLS tusitegemee jipya sana baada ya kuapishwa kuwa Rais wa TLs. Maambukusi ni zao la mfumo wa nchi kama alivyokuwa Hosea.