Tushangilie ushindi wa TLS lakini tusitegemee mabadiliko TLS kupitia Mwambukusi; huyu ni mwanasystem kindakindaki

Naona wanataka kumtengenezea mizengwe baada kiunzi cha kwanza kukivuka salama
Naona weshaanza kuweweseka, Kwa Mwabukusi kurejeshwa Kwenye kinyang'anyiro Cha kugombea Urais wa TLS😀
 
1. Shida yako nini, na acha demokrasia yao ifanye kazi
 
Wana wa Adam hatuna wema
 
Kwanza kabisa, jina lake ni Mwabukusi.

Si Mwambukusi.
 

Si ungewaorodhesha wote wanamfumo ndugu kama ungependa kuaminika?
 
Kwani ameshashinda? Jifunze kuandika jina la watu
 
Uchaguzi wa ajabu sana wakili atoke Bukoba au Mtwara aende kupiga kura Dodoma, safari siku 3! Na unaandaliwa na wanasheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…