Tushauriane: Hawa Panya Road tunawatokomeza kwa namna gani?

Tushauriane: Hawa Panya Road tunawatokomeza kwa namna gani?

Lakini pia mzizi ujulikane kupitia vijana wa Diwani Msuya na Camilius Wambura.
 
Tatizo kuleana,yule mtoto wa fulani!

Dawa ni kuwa makauzu zaidi yao

Ova
 
Hmnaga sheria hapo

Kama hawasiki dawa ni kunyooshwa

Ova
Basi,mswaada upelekwe mjengoni ili tupate sheria ya kunyoosha panya rodi au,tusubiri siku wanaume wa Dar watakaposema basi.
 
Kuna kemikali unaweka kwenye chupa ya spray ukiirusha hakuna anayeona!! Naitafuta, lakini pia kuna umuhimu wa kuwa na taser, zile zinapiga shoti kali sana kwa mbali!! Napata wapi??
Pia kuna flame thrower gun nazo ni nzuri kwa panya,zinarusha moto kwa mbali hizi kwa kubanikia panya ndo zenyewe.
 
Panyaroad ni shetani sasa huwezi tumia demokrasia kupambana na shetani
 
Tupeane maujanja Chief, hali ni tete!! Tunazipatia wapi??
Sijui kama sheria inaruhusu kuziingiza but kwa njia ya panya unaweza.
Check Amazon. Kwa panya zinafanya Kazi nzuri Sana hata waje elf moja

Screenshot_20220502_132518.jpg


Screenshot_20220502_132455.jpg
 
Yaani tuanze kubembelezana na wahalifu, dawa yao ni jeshi la polisi kutafuta habari za kiintelegensia, kuweka mtego wa askari tosha.

Wakiingia kwenye 18 kipigo chake cha mbwa koko, kamata kama kumi wakifika huko ndani mateso yake mpaka wataje ni akina wakubwa zao, kamata viongozi wao halafu picha kamili lianze siku wanaenda mahakamani akikisha sura zao zipo ovyo kwa vipigo walivyochezea ndani ya magereza, waandishi wa habari wakiuliza kulikoni unawaambia walijifanya watemi gerezani wakapigana na wafungwa wenzao.

Watu wangapi tunashida na atujaenda shule lakini atuendi kuchapa watu na kupora mali zao.
 
Hili la Panya road nami nitie neno.Kwa maoni yangu Kuna udhaifu mkubwa kwa jeshi la polisi.Inawezekanaje watu wajeruhi watu takribani 20 na hakuna aliyeshikwa hata mmoja??.Intelligensia ya Polisi Iko wapi? .
Ushauri Polisi waongeze Intelligensia na doria ili kuhakikisha wahusika wanatiwa mbaroni.
 
Hili la Panya road nami nitie neno.Kwa maoni yangu Kuna udhaifu mkubwa kwa jeshi la polisi.Inawezekanaje watu wajeruhi watu takribani 20 na hakuna aliyeshikwa hata mmoja??.Intelligensia ya Polisi Iko wapi? .
Ushauri Polisi waongeze Intelligensia na doria ili kuhakikisha wahusika wanatiwa mbaroni.
Sio udhaifu kuna kitu hakiko sawa
 
Sheria zenyewe hizi zinasomwa ushakufa wakati wa risala!! Bora kujihami tu, jeshi na mamlaka vishashindwa
Hata local unaweza ukatengeneza ukiwa mtundu kwa fire extinguisher au mtungi wa gesi
 
Back
Top Bottom