Tushauriane: Hawa Panya Road tunawatokomeza kwa namna gani?

Wanaume wa Dar nao ni wanaume
 
Police hawezi Linda KILA mtu
 
Panya ujua mitaa ya kuvamia mingine wanajua awatoki
 
Unapopiga na panya piga kama unapigana na shetani maana wamejitoa kufa so tumia silaha yeyeto.
 
Hakuna siri ya watu 50+ ni swala la kuomba jamii kuwataja ukiona majina yanajirudia kamata top five kwenye list kwa nyakati tofauti kimya kimya, wape kichapo kidogo, ingia nao plea bargain wakishirikiana na jeshi la polisi adhabu yao itapungua.

Kazi yao iwe kukupa taarifa tukio linalofuata na onyo lao likitokea tukio awajatoa habari mziki wake kwao autakuwa mdogo. So una five potential informants ambao awajuani chances are utapata habari tu tukio linalofuata, set a sting operation na askari wa kutosha.

Yaani vitoto vidogo vitusumbue, Dar Es Salaam ya Makonda wasingethubutu.
 
Polisi nawaomba radhi jamani hapo kabla nilikuwa sitambui umuhimu wenu katika hii nchi ila baada ya hawa wasengerema wanaojiita "Panya Road" kutikisa hapa mtaani kwetu nimetambua kuwa ninyi ndio mnaofanya tutambe huku mjini kwa jitihada zenu za kuimarisha usalama.Natangaza rasmi nawakubali kuanzia leo.!
 
Wameenda wapi siku hizi hao polisi?
 
Ni jukumu la Jamii husika kuwamaliza panyaroad na sio kutegemea sijui raisi , rpc , IGP sijui nani elewa hawa si waathirika wa vitendo vya panya labda tu endapo mabinti zao wakiporwa au kubakwa ndipo wanaweza chukua hatua. Nature ya jiwe alikuwa anapenda mbilinge mbilinge zile na mambo yafananayo na ubabe thus panyaroad, Vibaka, wezi awakumchezea.
 
Sijui kama sheria inaruhusu kuziingiza but kwa njia ya panya unaweza.
Check Amazon. Kwa panya zinafanya Kazi nzuri Sana hata waje elf moja

View attachment 2208499

View attachment 2208500
Kuna vitu vinazuiliwa kwa maslahi ya umma, kuna mikasi fulani mikubwa inakata kufuli, inakata nondo hata geti la grill, sasa wakipata wahalifu huwa nishida.

Hata mitungi midogo ya gesi huwa inatumika kwenye uhalifu kwenda kukatia vitu, au kuna zike vifaa ukimgusa mtu anapigwa short anazimika.

South Africa vinapatikana, mijizi inayotokeaga huko ndio inaingizaga hivi vitu.
 
Huoni aibu kusema haya? Yani unategemea wanaume wenzio ndio wakulinde?
 
Hao watoto wanafanya matukio jioni wanaenda kula wali wa kengere majumbani mwao,Hainingii Akilini kabisa hawa kushindikana!
 
Dawa ya hawa ni kuwaua kama polisi watakuwa serious
Mnajaribu ku-solve complex problems kwa simple solutions. Nisikilize: Unawajua bodaboda? Unawajua wamachinga? Basi hawa ni hatari kuliko panya road mara kumi. Trust me! Ni suala la muda tu na matokeo yake yataonekana.
 
Unajiliwaza tu na wala hujui unachosema. Panya road walikuwepo hata kipindi cha Magufuli, wakati huyu mjinga Makonda akiwa kwenye kilele chake cha unyama.
 
Ushauri wa bure, tupeni leseni ya kuwamaliza hawa madogo, ndani ya wiki moja woote watakuwa mochwari, kama mpo serious lakini.
 
Hao hawaishi mbinguni wanajulikana,subiria oparesheni mtaani siku wakibanwa mbupu na kuletwa kwenye magereza ya kulima wataisha wenyewe..

Endeleeni tuu kuwalea kwa kisingizio cha damu ni nzito kuliko maji..

Kamata wote,kuna mashamba kibao tuu huku mikoani hayalimwi.
 
Unajiliwaza tu na wala hujui unachosema. Panya road walikuwepo hata kipindi cha Magufuli, wakati huyu mjinga Makonda akiwa kwenye kilele chake cha unyama.

Najiliwaza na nini sasa katika hili?? Mi sijasema hawakuwepo, kwani Makonda alipata ukuu wa mkoa kipindi cha Nyerere??

Ukweli ni kwamba, yeye ndiye alitoa order kuwa akikamatwa kipanya na mzazi wake wote wawekwe ndani!! Wakati huo Kigogo imechafuka na tuliona wazazi waliokamatwa na makundi kupungua kwa kiwango kikubwa!!

Hata kama Makonda ana mabaya yake, hili ni jambo jema sana alilofanya!! Namsifia kwa hilo maana huyu Mkuu wa mkoa wa sasa keshafeli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…