Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Shangaa ww mkuu. Jamaa bado analia Lia tu 😅😅3 yrs mtoto si anaenda na shule kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangaa ww mkuu. Jamaa bado analia Lia tu 😅😅3 yrs mtoto si anaenda na shule kabisa
Hivi kwani kutembea na mdada is it that necessary kiasi kwamba muone ambaye hajatembea naye hana akili..??Hiyo tunaita mgawanyo wa majukumu. Wewe unatunza, mwingine anagonga.
3 years hujampelekea kobilo, una akili ww?
Hebu tuache kupepesa macho na kuzunguka. 3 years relationship, mnakuwa mnafanya nn?Hivi kwani kutembea na mdada is it that necessary kiasi kwamba muone ambaye hajatembea naye hana akili..??
ya kufanya kwenye mahusiano ni mengi mno nadhani sex ilipaswa isiwe jambo la kupewa kipaumbele kiasi hiki..!!Hebu tuache kupepesa macho na kuzunguka. 3 years relationship, mnakuwa mnafanya nn?
Hebu niambie, katika hiyo miaka 3, ni mengi yapi mnayokuwa mnafanya?ya kufanya kwenye mahusiano ni mengi mno nadhani sex ilipaswa isiwe jambo la kupewa kipaumbele kiasi hiki..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujamlamba unamuogopa au?
Hivi kwani kutembea na mdada is it that necessary kiasi kwamba muone ambaye hajatembea naye hana akili..??
3 Yrs unahudumia tu tena karne hii bila kupiga hatua yeyote ile ? Sasa yeye kanufaika na nini maana huyo dada kanufaika na kuhudumiwa.Hivi kwani kutembea na mdada is it that necessary kiasi kwamba muone ambaye hajatembea naye hana akili..??
Inashangaza sanaShangaa ww mkuu. Jamaa bado analia Lia tu 😅😅
Hivi kwani kutembea na mdada is it that necessary kiasi kwamba muone ambaye hajatembea naye hana akili..??
ya kufanya kwenye mahusiano ni mengi mno nadhani sex ilipaswa isiwe jambo la kupewa kipaumbele kiasi hiki..!!
Alikuwa anasoma lakini tunakumbushana ahadi yetu ila kila mtu anapambanaHebu niambie, katika hiyo miaka 3, ni mengi yapi mnayokuwa mnafanya?
Endelea kutokumlamba usije babuka mdomo.Nilimpata nikiwa mwaka wa tatu yeye wa kwanza. 2019
Nilimwandaa ili nimuone akimaliza chuo 2022 lakini amekuwa akiniambia wazazi wake wamesema atulie kidogo. Sijamlamba hadi leo sijui nifanyeje maana namkubali