Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Ttcl ila kifurushinchako jiunge kupitia tpesa hutajutaHuku Halotel tayari kumeshachafuka, hakufai tena. Vifurushi havishikiki, tushaurini tuhamie mtandao gani wakuu?
LeoKumechafuka kuanzia lini?
Hii ni halotel? Mbona wana nafuu sana. Huku voda ndo hapafai.
acheni kulia lia, mbona voda vifurushi ni ghali na watu wanaunga tu.
Hawa jamaaa wanazingua sana juzi wamenitoa hewani siku nzima, na huduma kwa wateja hawapokeiHuku Halotel tayari kumeshachafuka, hakufai tena. Vifurushi havishikiki, tushaurini tuhamie mtandao gani wakuu?