Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

Tukimbikilie wapi Sasa Sisi kondoo wa kimasikini baada ya Zizi letu la Halotel kubomoka?
CHADEMA hizi hoja zichukueni ziwekeni kwenye mikakati yenu ya kuondoa adha kwa wananchi.

Serikali jukumu kubwa ililonalo ni kuleta tija kwa wananchi na siyo kujibaraguza na matamko wasiyoyatekeleza
 
CHADEMA hizi hoja zichukueni ziwekeni kwenye mikakati yenu ya kuondoa adha kwa wananchi.

Serikali jukumu kubwa ililonalo ni kuleta tija kwa wananchi na siyo kujibaraguza na matamko wasiyoyatekeleza
Chadema usiitegemee Kuna ishu nyingi za kitaifa wamekaa kimya wanasubiri Hadi mwenyekiti wao atoke
 
Jamani nimekandika bando via halopesa nashangaa napata bando njiwa napitia hapa viwango inasikitisha jamani lile bando pendwa la usiku la 1500 liililokuwaga 10gb likashuka hadi 5gb tukavumilia kwa sasa ni mb 1160

Nimenyoosha mikono, iam done
Ndo maana Jana nlikuwa na inshu muhimu night , nkasema nitumie night bundle nimalize mifumo yote nkajikuta usingiz mzito, kumbe nlijiepusha na mengi bla kujua!.

Pole Sana ndg !
 
Jamani nimekandika bando via halopesa nashangaa napata bando njiwa napitia hapa viwango inasikitisha jamani lile bando pendwa la usiku la 1500 liililokuwaga 10gb likashuka hadi 5gb tukavumilia kwa sasa ni mb 1160

Nimenyoosha mikono, iam done
Hii nchi inadekeza Sana watu yaani buku hero upate bando ya 10 gb? Afu wameweka 5gb bado watu wanalalamika?

Aisee tozo ni muhimu sana ndio maana watu hawafanyi Kazi wanashinda mitandaoni kutukana Serikali na kulaumu
 
Back
Top Bottom