Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

Hii nchi inadekeza Sana watu yaani buku hero upate bando ya 10 gb? Afu wameweka 5gb bado watu wanalalamika?

Aisee tozo ni muhimu sana ndio maana watu hawafanyi Kazi wanashinda mitandaoni kutukana Serikali na kulaumu
😄😄😄 Unaweza kudhani aliyeandika hapa Ni Bonge la kibopa Yuko bize kichizi na Maisha, kumbe anashinda zake JF kutuliza zake wenge.
 
Jamani nimekandika bando via halopesa nashangaa napata bando njiwa napitia hapa viwango inasikitisha jamani lile bando pendwa la usiku la 1500 liililokuwaga 10gb likashuka hadi 5gb tukavumilia kwa sasa ni mb 1160

Nimenyoosha mikono, iam done
Hahaha..
Tozo juu ya Tozo!
Mi-5 tena!
 
Mitandao yote wameshusha vifurushi hasa kwenye upande wa mb,sasa hivi usifikirie kupata 1gb kwa buku anza kufikiria buku mbili ndo upate angalau 1gb na kuendelea.
 
Ninatumia line ya chuo, Sasa nilipigiwa simu na texts kutoka halo kwamba niende kubadilisha wanipe line ya 4G. yenye data Gb4. Sijafanya hivyo kwa makusudi kuhofia kupoteza line ya chuo yenye bundle nafuu.
 
😄😄😄 Unaweza kudhani aliyeandika hapa Ni Bonge la kibopa Yuko bize kichizi na Maisha, kumbe anashinda zake JF kutuliza zake wenge.
Haihitaji kuwa kibopa,ndio maana serikali ilizuia kunywa pombe asubuhi mfanye kazi,na hapa Serikali iweke Kodi kubwa.huku watu wamekuwa mazezeta wanashinda mitandaoni kulaumu na kutukana badala ya kufanya Kazi.
 
Back
Top Bottom