green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Umepigwa na kitu kizito kichwaniHuku Halotel tayari kumeshachafuka, hakufai tena. Vifurushi havishikiki, tushaurini tuhamie mtandao gani wakuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepigwa na kitu kizito kichwaniHuku Halotel tayari kumeshachafuka, hakufai tena. Vifurushi havishikiki, tushaurini tuhamie mtandao gani wakuu?
Si amefungua nchi?
.
Kwani bado mnatawaliwa kidikteta?
Voda pasua kichwa..Tukiwapea laini ya voda wiki wanatema ndoano
Haihitaji kuwa kibopa,ndio maana serikali ilizuia kunywa pombe asubuhi mfanye kazi,na hapa Serikali iweke Kodi kubwa.huku watu wamekuwa mazezeta wanashinda mitandaoni kulaumu na kutukana badala ya kufanya Kazi.
Hakuna kidi ni ndogo SanaKwani Kodi si wanapata mkuu tena wenyewe wanafurahia kabisa wanasema zimeongezeka kuliko kipindi cha nyuma
Kakinga Fulani kalofa kanashinda kwenye thread ya kijinga ya kupambanisha miji.[emoji1][emoji1][emoji1] Unaweza kudhani aliyeandika hapa Ni Bonge la kibopa Yuko bize kichizi na Maisha, kumbe anashinda zake JF kutuliza zake wenge.
Nilitumiwa message ya OFA yako kwamba pata 1.1GB kwa 1500 ,nikanunua ,kumbe ni wapuuzi sana ,wametoa 500MB za internet halafu 600MB ni social media(Facebook,Insta na whatsapp),ningejua kwamba ni 500MB za net na mitakataka yao 600MB nisingenunua.....Mimi nifungue Facebook au instagram ya nini mpaka unipe 600MB?
Voda pasua kichwa..
Kifurushi wanakuletea cha wiki/ mwezi ukiunga hata siku hakimalizi..
mkuu laini zao zinapatikana wapi? najua kuhusu vocha jamaa wa kenya wanaweza kutujazia, hali tete kwa kweli wengi tunategemea mishe zetu kwenye internet hii haikubalikiInabidi tuhamie Safaricom
Nunua Kwa halopesaHuku Halotel tayari kumeshachafuka, hakufai tena. Vifurushi havishikiki, tushaurini tuhamie mtandao gani wakuu?
kumevurugika kote kuanzia leo hakufai nimenununua kwa halopesa ni maumivuNunua Kwa halopesa