Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

No ukijiunga kupitia tpesa inakuja 1.2gb .. by the way maybe labda kwako haiji.
Ttcl nao wamepunguza from 1.2gb to 600 mb.
Kwa 1000

Hapana pa kupumulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bora uache kutumia sm tu,mitandao yote sahv shda tu
 
Hivi ile line ya halotel ya royal kifurushi chake kikoje na Bado inapatikana?
 
Natamani niwapigie simu niwatukane.na hizo gb 1 ukiingia telegram na Instagram masaa tu zimeisha.
Nafikiria kuacha kutumia mitandao nirudi tu enzi za kupiga na kupokea.
Nimefuta telegram kwenye ma ex ya buza. Maana 1 gb ya wiki mimi huwa natumia kwa siku,sasa mb600 zitanisaidia nini? Napunguza matumizi ya intaneti kwa kufuta au kupunguza kuingia baadhi ya app
Na mute baadhi ya whatsapp status za kijingajinga.insta naingia kwa machale kuchungulia kisha nasepa.
Nitaweza tu kumudu mb 600 kwa siku.
 
Kumiliki smart phone gharama Sanaa.
 
Huku Halotel tayari kumeshachafuka, hakufai tena. Vifurushi havishikiki, tushaurini tuhamie mtandao gani wakuu?
Voda wanatoa 1gb kwa 1000😂😂

78DFC8B0-CB83-4997-BC46-7343B3F38CF8.jpeg
 
Back
Top Bottom