Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

Jamani nimekandika bando via halopesa nashangaa napata bando njiwa napitia hapa viwango inasikitisha jamani lile bando pendwa la usiku la 1500 liililokuwaga 10gb likashuka hadi 5gb tukavumilia kwa sasa ni mb 1160

Nimenyoosha mikono, iam done
Kwenye hiki kifurushi tumeumia wengi sana
 
Achaaa tuisome namba eheeeee
Tuisomeeeee
CCM mbele kwa mbeleeee

Ilisikika sauti kwenye radio chumba cha pili cha mpangaji mwenzanguuu
 
Ttcl ila kifurushinchako jiunge kupitia tpesa hutajuta
Ttcl nao wamepunguza from 1.2gb to 600 mb.
Kwa 1000

Hapana pa kupumulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Daah hii nchi inavyoendeshwa siku hizi hadi mtu unabaki unashangaa tu, hivi vifurushi walivivuruga kipindi cha nyuma vikaja kutulizwa na kauli ya Rais sasa shida imekua nini tena hadi vimevurugwa na ma bei ya ajabu ajabu?? Halafu hamna hata maelezo ya maana yanayoeleweka.

Ngoja nijaribu kufanya roaming na line ya Safaricom Kenya speed ikiniridhisha bye bye mitandao ya bongo kwenye suala la internet.
 
Halotel wanazingua jamani Instagram ,playstore,nk....hakuna mtandao
 
Back
Top Bottom