Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Usikilize vipi nyimbo kwenye deki mkuu?
Au unavideo ktk simu unataka uziplay ktk tv via deki?
Hahahhahahha
pengine anamaanisha via usb on deck
Kumsaidia ni kwamba aangalie wakati anachomeka hyo usb kwenye deck na simu ahakikishe hyo source isome media not charge only,,
 
Nina tecno C8 nataka ku_root, mwenye kujua aniambie bas
 
Watapelekwa magroup ya oriflame au forever we waache
Wao wanaona kila anaesema ameanzisha group analengo lile alilolileta hapa jukwaani wakati wengine ni njia ya kukusanya members wawe wengi kwenye group yake ili atumie hiyo nafasi kutangaza bidhaa zake au kufanya biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…