Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mkuu inabidi iwe hivyo sababu una mpa mtu app hajui kuitumia inakuwa haina faida.
 
Anaeweza nisaidia kupata font ya "Rosemary" ile ya Samsung without root in my beautiful Tecno-c8? Naona hii Babel font (system app) haina hizo?
 
Mkuu nimeweza kuwekea background naomba nielekeze jinsi ya kuunganisha picha kwenye hii application tafadhali
 
Jaribu hii mkuu inaitwa Ex File Explorer Nimeona hii inawatumiaji mara kumi ya hiyo yako so cheki features zake
ES File Explorer File Manager - Android Apps on Google Play
Hii najua na ninaitumiaga sana tuu ila ukinisoma mi siangalii idadi ya watumiaji bali feature zake. Je EX inazo kama za FX.. Some tgm apps mpya inaweza kuwa bora kuliko ya zamani ambago itakuwa inajulikana na wengi... So hatubishani bali tunashirikishana... Na haina maana nikikushifikisha hii ise ile siijui.
 
Unaweza tuwekea hizo features ambazo kwenye FX zipo kwenye ES hazipo?
 
Msaada finger print screen locker natumia Tecno J8 asanteni simu yangu nishairutv ila nisaidieni na hiyo wakuu

Bango
 
Kuna app inaitwa CamScanner, inapatikana googleplay na app store zingine, ina free version na premium version.

Hii app ni nzuri hasa kwa wanachuo, let say una ma past paper umeyapiga picha wakati mwingine picha haitokei clear sana, au inakuwa haijakaa vizuri, basi hii camscanner inakusaidia kuorganise izo picha vizuri, kuzicrop, kuzifanya zing'ae kama photocopy vile na kuziweka pamoja kisha kuzifanya ziwe pdf kukurahisishia usomaji...
 
Umewezaje mkuu mimi nishajaribu na kukata tamaa kabisa kwenye j 8 yangu
anyway ukipata hyo font nitag
Mkuu hiyo ya kuscan hadi simu iwe root

Kuroot nilidownload kingroot latest version niswitch debug nikaanza kuiroot


Bango
 
Anaeweza nisaidia kupata font ya "Rosemary" ile ya Samsung without root in my beautiful Tecno-c8? Naona hii Babel font (system app) haina hizo?
Mimi ninayo Rosemary kwa C8.....it works good but only with rooting....otherwise katafute Samsung
 
Habarini wakuu nimefanikiwa kuroot j8 sasa nauliza apps gani niweke niione simu yangu tofauti? maana now naona ipo vile vile tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…