SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,986
- 2,664
Mkuu inabidi iwe hivyo sababu una mpa mtu app hajui kuitumia inakuwa haina faida.Haiya haiya. Tumejikuta tunaeleweshana zaidi jinsi ya kutumia Apps kuliko kujulishana Apps nzuri kulingana na tunavyotumia.
Ok binafsi nimekutana na App ya kuitwa FX file manager, ni nzuri kwa wadau wakuzijua Apps mtaijaribu.
Inaoption nyingi sana za kulifanya file vile unataka, inanplayer ndani ya sound na video, ina text editor, kwa wale wakuroot ina hadi axccessing ya system folder, NB ni in-apps purchased.. So unaweza kutumia apps ya freedom au lucky patcher kuihalalisha.