Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Msaada namna ya kuondoa [HASHTAG]#ads[/HASHTAG] kwny application ambayo unakuwa umedownload.

Mfano kama hiyo application ya mziki hapo chini kuna ads inataka niinstall na huwa zinabadilika kila wakati muda mwingine inatokea nyingine na hii ni pale ninapokuwa naitumia hiyo application huku nimefungua data....

Msaada wakuu tafadhari
 

Attachments

  • Screenshot_20170111-152926.png
    155.5 KB · Views: 70
Kama simu yako ume root install adaway kisha iwe active
 
Bila maelekezo kaka huwezi fanya hiyo ishu.
Japo ni simple, na simu iwe rooted.
 
Cm yang sio rooted maana bado sijaona sababu za kunifanya niiroot so nifanye vp kwa kuwa sio rooted
Kama huja root nunua hiyo app au tafuta paid version kwenye app kama aptoide, black market.
 
Go for Lucky Patcher.....make sure ur device is rooted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…