Shuka chini hadi ukute maandishi mafupi yaliyo kolezwa rangi ya blue ya kiarabu bofya pale alaf download mkuuMwenye uelewa jinsi ya ku update Gb whatsapp anisasaidie maelekezo niki update inagoma inaleta maandsh ya kiarabu then chin panakua na neno download nikibonyeza apo inagoma
Tumia poweramp trialNaomba mnitajie music player nzuri sija root simu maana powerap mpaka u root
Ingia gugo sachi, tafuta "snaptube apk".... Enjoy!Tafuta videoder
Nenda google search free download videoder apk latest version
In a convert hadi mp3
Bango
Hiyo snaptube inaizidi nini videoderIngia gugo sachi, tafuta "snaptube apk".... Enjoy!
Hivi amna program ya kufanyia back up nyimbo kama zikijifuta
Mfano wa kazi hizo ambazo nitashindwa kufanya pindi nikitumia kingrootKing user na super user sio apps za kuroot
Kuroot iyo simu yako tumia CF-Root Download
Hii njia ya computer ni dk 1 tu na ni uhakika
Ukitaka kubahatisha jaribu framaroot na towel root hizi bila computer. .ila zote zikigoma njia itayokufaa ni hiyo ya pc ambapo utapata zip ya chainfire..jamaa ndo mbabe wa kuroot hizo samsung
Ukiwa super user utafanya mengi kuliko kinguser ambayo utapewa na king root kuna kaz itachemka kufanya.
Hili swali limokosa jibu huku wakuu?App gani ya kutuma flash messages? Yaani ile ukimtumia mtu na akifungua akasoma tu inapotea, haibaki kwenye simu yake.
Kuna rom zitakwambia divice haijawa proper rooted hivyo hutoweza ziflash.Mfano wa kazi hizo ambazo nitashindwa kufanya pindi nikitumia kingroot
Na utatumia data zao kufanyia nini?Hiyo app nimetengeneza mimi ina lugha ya kiswahili pia. Kwa akina dada kufuatilia mzunguko wa hedhi na kujua siku zipi za kuepuka kupata ujauzito au ni siku zipi za kupata ujauzito kwa wale wanaotafuta watoto. Kina kaka pia mnaweza kuwa nayo ujue mzunguko wa mwezio unaendaje. Na mengine kibao...
Sichukui data za aina yoyote, data zinakaa kwenye simu husika, data zinazohitajika ni kuwezesha kutabiri mzunguko wa hedhi basiNa utatumia data zao kufanyia nini?
update your whatsappnaomben mnisaidie jaman mm kwng OgWhatsapp inatokea iv....
na ata nikilekebisha saa bado haifanyi chochote.
nisaidie link ya kuipata hiyo appupdate your whatsapp