Duuhh mkuu haya yanakutoka wewe...?Mkuu sijaelewa hapa apps kama hii watawekaje playstore acha kupotosha jamii kuonekana uko makini tuwekee link
Asante kwa shutuma kejeri na matusi but all in all mimi so developer wa hii app na the big problem in our country in electronic business!!!!! Huu utaratibu ni mgumu wa kununua vitu kwa kutumia electronic card.Huu ni wizi. Sio jambo jema wenzio wametoa jasho ku develop app halafu wanaweka sehemu wanauza, ww unataka utumie bure. Lau mtandaoni ingekuwa ni kariakoo wewe na wenzako mnaoiba mgeshachomwa moto. Tujifunze kuwa waadilifu sio tunafurahia watu wanavotobolewa majipu wakati sisi wenyewe sio waadilifu. Tujitathmini.
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...
Mi naanza na mobdro app noma sana
Haina shida rangi tuu..naamini atakuwa mtamu sana nikipata na ndimu kwa mbaliMmmmmmmmm ila shaft jepesi ntampaka rangi
Sijakushutumu wala kukukejeli, ww mwenywe umesema hiyo app unadownload app zinazouzwa bila kulipia, kama si wizi huo ni nini???. Nyanya inauzwa dukani halafu ww uende ukachukue bila kulipa hela bila taarifa kwa mwenye duka huo sio wizi???. Hakika nafsi yako inajua unayoyatenda ikiwa ni ya haki au laa. Mastercard na visacard zipo kwaajili ya electronic payment system sio kwaajili ya kutolea fedha kwenye atm. No excuseAsante kwa shutuma kejeri na matusi but all in all mimi so developer wa hii app na the big problem in our country in electronic business!!!!! Huu utaratibu ni mgumu wa kununua vitu kwa kutumia electronic card.
Binafsi so mwizi. Asante
Ukiwa na super su unakua na options nyingi sana tofaut na kweny kingroot utakua na king user..mfano kuna hadi blotware zingine huez zitoa kwa king user pia options kama full unroot sidhan kama utaipata ..kikubwa ni features mkuu..pia unaweza kutana na apps flan zikakwambia your device is not well rootedMkuu mimi natumia kingroot kwenye tecno C8 n.
Naomba ufafanuzi kidogo hapa
Ucjali bando lako tu kakaMan thanx...hyo app yaukweli ina work perfectly asee
Nna Halotel ya Magumashi cjui ndo ya chuo 10k Gb 7....ni full mtelezoUcjali bando lako tu kaka
Gb7 kwa 10kNna Halotel ya Magumashi cjui ndo ya chuo 10k Gb 7....ni full mtelezo
Tumia website tuNataka apps ambayo itanisaidia kupata movie kirahisia za series kwny pc
Tumia towel rootHiyo Bootloader sijui labda unaweza kunielekeza ili niangalie
Kuroot simu ni kufanya nini mkuuInawezekana ila ina mzunguko kidogo link ni hii
How to use lucky patcher without rooting the phone - Quora
Sio tsh 9,999...!!?Gb7 kwa 10k
Bora uunge bando la chuo utapata hizo gb 7 kwa sh 7000
Kifurush cha chuo cha 500 unapewa mb 500 inamaana sh 1000 utapata gb1Sio tsh 9,999...!!?
Mobodro kwangu haikubali naomba link mkuuNdio Download bluestack halafu ufungue Mobodro kutumia hiyo Bluestack
Wengine hawako chuo mkuu wafanyaje .usijitape kwani nawe unamaliza chuo lazima utafte alternative kaka. Tupe MahabharataGb7 kwa 10k
Bora uunge bando la chuo utapata hizo gb 7 kwa sh 7000
Angalia mwanzo wa link tajwa utaikutaMobodro kwangu haikubali naomba link mkuu