Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mkuu sijaelewa hapa apps kama hii watawekaje playstore acha kupotosha jamii kuonekana uko makini tuwekee link
Duuhh mkuu haya yanakutoka wewe...?


Je imeiangalia playstore umeikosa..
Nahisi huja angalia..
Unge angalia ungeikosa, ungeiongea haya.....
 
Huu ni wizi. Sio jambo jema wenzio wametoa jasho ku develop app halafu wanaweka sehemu wanauza, ww unataka utumie bure. Lau mtandaoni ingekuwa ni kariakoo wewe na wenzako mnaoiba mgeshachomwa moto. Tujifunze kuwa waadilifu sio tunafurahia watu wanavotobolewa majipu wakati sisi wenyewe sio waadilifu. Tujitathmini.
Asante kwa shutuma kejeri na matusi but all in all mimi so developer wa hii app na the big problem in our country in electronic business!!!!! Huu utaratibu ni mgumu wa kununua vitu kwa kutumia electronic card.
Binafsi so mwizi. Asante
 
Asante kwa shutuma kejeri na matusi but all in all mimi so developer wa hii app na the big problem in our country in electronic business!!!!! Huu utaratibu ni mgumu wa kununua vitu kwa kutumia electronic card.
Binafsi so mwizi. Asante
Sijakushutumu wala kukukejeli, ww mwenywe umesema hiyo app unadownload app zinazouzwa bila kulipia, kama si wizi huo ni nini???. Nyanya inauzwa dukani halafu ww uende ukachukue bila kulipa hela bila taarifa kwa mwenye duka huo sio wizi???. Hakika nafsi yako inajua unayoyatenda ikiwa ni ya haki au laa. Mastercard na visacard zipo kwaajili ya electronic payment system sio kwaajili ya kutolea fedha kwenye atm. No excuse
 
Mkuu mimi natumia kingroot kwenye tecno C8 n.
Naomba ufafanuzi kidogo hapa
Ukiwa na super su unakua na options nyingi sana tofaut na kweny kingroot utakua na king user..mfano kuna hadi blotware zingine huez zitoa kwa king user pia options kama full unroot sidhan kama utaipata ..kikubwa ni features mkuu..pia unaweza kutana na apps flan zikakwambia your device is not well rooted
Its too complicated unaweza usinielewe ila kama umecheza sana na rooting utajua kingroot haina maana

Ila kwa simu za mediatek kama yako nafikir kingroot ndo yenyewe
 
Back
Top Bottom