Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Nina sim ya tecno y2 yani nikiitazama screen sana macho yanauma sana alafu mwanga nimepunguza mpaka mwisho sijui tatizo ni nini,
Naombeni msaada kwa wale wanaojua jinsi ya kusolve hii ishu
Mkuu hilo tatizo hata mimi ninalo.ni tatizo la kutumia simu mda mrefu.ikitoka kwenye macho itakua kichwa kinauma.ushaur punguza matumizi ya simu na tv
 
Good
 
Kwa nini face book na Twitter zinagoma kuhama kwenda sdcard memory kutoka internal memory? Natumia app ya Link2cd. Hebu tusaidiane maujanja wakuu. Internal space yangu ni ndogo.
 
Kwa nini face book na Twitter zinagoma kuhama kwenda sdcard memory kutoka internal memory? Natumia app ya Link2cd. Hebu tusaidiane maujanja wakuu. Internal space yangu ni ndogo.
Mimi natumia lucky patcher na inakubali bila shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…