Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

P1
 
App ya sim card charger notifier ni nzuri inapatikana playstore
 
Kupitia videoder unaweza kudowload movie mpya kabisa katika HD kotoka movie 123
 
Msaada nikiwa naperuz ama kuchart hz social network yanatokea mayangazo had yananinyima poz naomba mwenyekujua app au namna ya kuzuis nisiyaone anisaidie
 
Msaada nikiwa naperuz ama kuchart hz social network yanatokea mayangazo had yananinyima poz naomba mwenyekujua app au namna ya kuzuis nisiyaone anisaidie
Ad blocker for Android AdClear

Download hii app itakusaidia
Ukishadownload weka on hapo kwenye alama nyeupe na juu ya panel ya simu yako itajiweka notification ya kialama cha ufunguo hapo itakua on Enjoy
 
Waku sana.

Lucky patcher ndio app inayofaa nini kwa simu yangu.

Nawasilisha kwa msaada.
 
Mkuu hii kitu nimeipenda sana, sawa kuipakua unakuwaje?
Maana nimejaribu naona inaniletea mambo ya emails
Una Google play? Kama unayo ukibofya hiyo link Biblia Takatifu Kiswahili - Android Apps on Google Play
itafunguka . Kama inagoma basi fungua google play app halafu itafute kwa jina hili 'Biblia Takatifu Kiswahili' zitakuja app nyingi tafuta hiyo app utaona icon yake na developer ni Robert Londo
 
Ukiidownload unaweza rate 5 stars na kushare na wenzako. Kama utapata changamoto yoyote usisite kuuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…