Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Naomba unitajie jina la hii app, picha imekatika haifunguki mkuu
 
Hivi wakuu hamna namna ya kufanya installation ya apps kwenye smart Tv
 
Kuna njia nyingi lakini njia rahisi mbili ninazopenda zitumia ya kwanza ni ingia playstore ya smart tv yako tafuta file linaitwa SEND FILES TO TV.kisha nenda kwenye smartphone yako kadownload file hilo hilo. Hii itakusaidia kutuma mafile au apk kutoka kwenye smartphone yako kwenda kwenye smarttv yako...ila hakikisha simu yako ipo same wifi na tv yako...usitumie vpn katika kusend files au apk itakugomea hiyo apk.


Baada ya kudownload hiyo 'SEND FILES TO TV' nenda kwenye playstore ya smart tv yako kadownload app inaitwa 'fX File Explorer' hii itakusaidia kufungua na kuinstall app uliyotumiwa. Chini hapo ni ambatanisha na image za hizo app
 
Njia nyingine ni kuinstall app inaitwa 'Aptoide TV'.hii inapatikana google so nenda google andika hilo jina kisha download kwenye simu yako na uisend kwa kutumia zile app nilizotaja hapo juu then install kwa smarttv yako hii ndio Aptoide TV hii ni playstore ya smartv ina apps ambazo google playatore hazipo.
 

Mkuu mm naomba namna ya kuangalia mechi mbali mbali za mpira wa miguu kama vile EPL kwa kutumia Android smart tv.
 
Mkuu mm naomba namna ya kuangalia mechi mbali mbali za mpira wa miguu kama vile EPL kwa kutumia Android smart tv.
Mkuu njia hiyo ya kwanza mdio itakuwezesha kuangalia mpira...nenda kwenye google katafute app inaitwa SPORTS FIRE .. au Yaccine tv hizo zitakupa burudani unachagua tu uangalie channel za nch gani
Hapa nacheck package ya dstv south africaView attachment 2771906
 

Samahan Mkuu,hizi unalipia au ni bando lako tu?halafu hyo yacine tv kila nikii download inanigomea kuonesha hzo channel zake sjawaj kuona ikikubal hata sku 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…